Raisi anaweza tupia lawama wahariri wa magazeti na kusahau kuwa wao ni wafanyabiashara. Na Biashara ni matangazo.
Wao sio wajinga kuona hawazipi kipaumbele habari zako. Wao wanaangalia ni habari...
Niaje wazeiyaaah....
EBANA SAWA
Kuna biashara nataka kufungua Mboka Manyema inahitaji Freezer..
Sasa niko kwenye mchakato wa kununua Freezer kariakoo na kuisafirsha kwenda Tabora..
Kabla ya...
Binaadam wenye vipato vikubwa vya fedha, majumba magari na vinginevyo asilimia kubwa wanadharau, mijisifa na kutaka kuonekana wao ndio wao kwa kila jambo ila mimi nataka niwaambie kitu kimoja...
Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)
Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?
NB: Siku hizi mbu...
Msaada, mwanangu kaokota ili jiwe, nimeshindwa kuelewa ni jiwe la namna gani, kuna kiini ndani yake, ukilegeuza jiwe nacho kinageuka.
Nimeona nisilitupe yazekana ni Mali, ebu wataalum niambieni:
Ni mara yangu ya kwanza kupost hapa jf
Mm ni mtumiaji wa haya mafuta ya taa sometime mkaa ila jamani nataka nibaki kwenye unafuu au gharama ndogo
Kati ya mkaa na mafuta ya taa kipi ni nafuu ama...
Kila jambo linalofanyika huwa linasababu zake;
Wataaram na wabobezi Wa masuala ya sheria pamoja na masuala ya interinjesia watakubaliana na Mimi kwamba;
Kosa ambalo lingemtia hatia ney Wa mitego...
HAWA WANAODAI KUUFUNGIA WIMBO MOJA NA KURUHUSU WIMBO WA SALOME HADI IKULU??....
NAJIULIZA TU....
HAKUNA UPUNGUFU WA AKILI KAMA WATU WANAOJIFANYA KUJUA MAADILI WAKAKUBALI KUTEMBEA BILA NGUO...
Muda mfupi uliopita baada ya kuona post humu ndani kwamba Magufuli amewaagiza polisi wamwachie huru Ney wa Mitego, nilidhani ni propaganda tu maana sikuamini angeweza kufanya hivyo kutokana na...
Habari wanaJF,
Mimi binafsi nasikitishwa na kinachoendelea humu, hasa ikizingatiwa huu ni ulingo wa watu genius kwa asilimia kubwa. Malumbano haya hayatusaidii kitu zaidi ya kuwapa faida...
mapema leo BASATA walitoa habari ya kuufungia wimbo wa #WAPO wa NEY WAMITEGO, Lakini Waziri wa habari Mh. Mwakyembe ameliagiza jeshi la polisi kumuachia huru msanii wa muziki Nay wamitego na wimbo...
Alianza Gray Mgonja; huyu tuliambiwa kastaafu( kwa mujibu wa sheria?!) Wiki au miezi michache baadae, Mgonja akaburuzwa kortini kwa matumizi mabaya ya ofisi ( Alex Stewart Scandal)! Leo hii...
mbunge wetu mtarajiwa kwa jimbo la segerea 2020,anena haya katika ukurasa wake wa FB.
••••••••••••••
Tumesema mara nyingi kwamba
kitu kinachoharibia utawala wa
awamu ya tano ni kutoacha
masuala...
Nimepata kusikiliza nyimbo ya nay wa mitego mara nyingi niwezavyo na nimeshangaa kusikia polisi ndo wamemkamata maswali ambayo nimejiuliza ni kuwa wanaelewa maana ya msanii na wamemkamata kwa kosa...
Jamani tunaomba Tanesco waje kuchukua nguzo zao maana zinaoza mali ya Serikali kuweni na huruma nguzo kama hamtaki kuweka umeme kwny majumba ya watu toeni hizo nguzo zenu hapo zinaoza sasa picha...
Sipo huko "instagram" lakini nimekuwa nikipata "update" za huko kupitia hapa au hata kuona baadhi ya "screenshot" zenye maandishi na picha ya kinachoendelea huko. Nasikia huko umaarufu unatokana...
tangu jana najaribu nunua vocha kwa nmb mobile na inafika stage muamala unashindikana na hela ya kulipia huduma inakatwa,hakuna wa kufidia wala kusema lolote,hii nchi ya kiajabu sana,mixer gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.