Navyojua mimi Professor ni jina la kiualimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida.
Habari za asubuhi wanajamvi,
Mimi ni mnunuzi mzuri sana wa bidhaa za mtandaoni sana sana ebay. Leo katika pita pita zangu nikakuta kuna necklace imetengenezwa kwa sarafu yetu ya Tshs 1 ya mwaka...
Wanajamvi katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamano na matamko mengi kuhusu kazi za bongo movie na movie za nje (kikorea) lakini watu hawa wanaoandamana walikosa uwakilishwaji mzuri wa...
Mbune wa Jimbo la Buyungu, Wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Kasuku Bilago wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ahoji cheti cha Bashite kina nini? kwanini kinafichwa tuu...
Mauaji ya kutumia silaha za moto yameendelea kushamiri nchini,baada ya mfanyabiashara mmoja mjini Singida kufariki dunia baada ya kupigwa risasi ya bunduki aina ya bastola wakati akitaka kuondoka...
Jamani msaada,
Kwa watumiaji wa hii application mimi nimetapeliwa hela na mtu na namba yake inapatikana mpaka sasa. Hivi naweza kutumia hiyo application ili niweze kujua location ya huyu mtu ili...
Wakuu Wasalaam,
Ninauliza hivyo kwa sababu kila mwisho wa Mwezi kuna watu wanapanga mstari kupokea hizi pesa lakini hali zao za maisha tunazifahamu. Kimaisha wako vizuri na hawastahili kupokea...
Mwenyekiti wa bodi ya Parole, Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye...
Yaani hili swali huwa najiuliza sipati jibu,Hakuna shule yeyote wala chuo chotechote nimewahi kusikia duniani kinatoa cheti au Degree ya mitusi. Nastaajabu sana binaadamu tuna misamiati mingi ya...
Nimekuwa nikisoma hili gazeti linaloitwa Sauti Huru, gazeti la jana, nliyoyaona humo mpaka nikatamani nicheke kwa sauti kubwa!!!
Hivi hili gazeti ndo kawaida yake kuandika hivi au..!??(maana...
Wakuu habarini za leo? Nipo njiani naelekea Singida. Naomba anaejua hoteli nzuri ya kisasa iliyopo Singida mjini anijuze. Napenda sehemu safi na tulivu, pia yenye chakula kizuri. Bajeti yangu ni...
Salaam.
Nimekuwa nikipata habari za Nyoka aina ya TIA ambaye ana vichwa viwili, Nyoka huyu ana sifa ya kukaa katika misitu minene, yenye ubaridi mkubwa na unyevu nyevu.
Kwa mara ya kwanza...
Habari za asubuhi.
Leo Junamosi Katibu Mkuu wa TUCTA atakutana na vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kilimanjaro kuzungumzia agenda mbalimbali kubwa itakuwa ni maandalizi siku kuu ya wafanyakazi...
Nilishasema Mwanzo Lakini Naendelea Kukumbisha Kwani Bado Fursa Zipo
Machief Uwekezaji Kuna Watu Wana Hela Lakini Wanashindwa Uchaguzi Sahihi ,Wapi Wawekeze
Kutokana Na urahisishwaji wa...
Miaka ya nyuma vijana wengi ilikuwa tukienda Club zikipigwa ngoma za dancehall za kina Sean Paul na ngoma nyingine nyingi za mbele ilikiwa tunaruka zaidi kuliko za Bongo lakini wasanii wa bongo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.