AG aruhusu viongozi kushitakiwa

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
dd7b25111b97d8741ea74e14ed32c65a.jpg
 
AG ndo katiba na sheria yetu kwamba akisema yeye basi liwe hivyo asiposema basi haliwi. Ikiwa ni hivyo basi tuna matatizo ya msingi sana ya kuanza kuyashughulikia hata kabla ya ufisadi na rushwa.
 
Inamaana walikuwa wananyanyaswa bila kuwashtaki?na sheria iko wazi...na hao wabunge hiyo sheria hawaijui?mpaka simbachawene atoe tamko?WABUNGE JADILINI MAMBO YA MSINGI...
 
1.Bongo bhana! Kila kiyi mpaka naniiliu aseme.
2. Kumbe ndio yanaendelea Dom kwenye kikao.
3. Hongereni kwa kiisimamia serikali.
4. Je hamjajiongezea posho?
 
Back
Top Bottom