Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,645
The attack on Clouds Media Group offices was a blessing in disguise for TBC!!.....naona sasa amehamia nyumbani......
Hebu fafanua kidogo mdau, umeniacha kapa!The attack on Clouds Media Group offices was a blessing in disguise for TBC!!.....naona sasa amehamia nyumbani......
Hivi huwa mnapata hata muda wa kuwapelekea waume zenu maji ya kuoga bafuni ?The attack on Clouds Media Group offices was a blessing in disguise for TBC!!.....naona sasa amehamia nyumbani......
Wakati ule anashinda MAWINGU, tibisii ilikuwa Koromije!TBC ni TV ya Taifa kama ni Mtanganyika bhasi ana haki ya kutumia chombo cha Taifa kwani si analipa kodi
Nyumbani ni nyumbani zunguka kote nyumbani utarudi tu kama si mzima bhasi mgonjwa au maiti.Wakati ule anashinda MAWINGU, tibisii ilikuwa Koromije!
TBC nayo hebu ijitahidi kwa kweli. Dk Ayoub namwaini sana fanya kazi ili iwe the Best TV in Tanzania. Anza na muonekano wake usipitwe hata na tv ngeni kabisa jamani mfano kuna Tv ngeni Zanzibar inaitwa sijui TIFU! Niiangalia nikasema hii inaonekana vizuri kuliko TV yetu ya Taifa hapana hii haikubaliki Wake up Dr. Nina amini unapitia pitia mitandao!
Inanikumbusha kisa cha mwana mpotevu katika Biblia, alipoamua kurudi nyumbani baada ya kupata masahibu ugenini!Nyumbani ni nyumbani zunguka kote nyumbani utarudi tu kama si mzima bhasi mgonjwa au maiti.