Heshima Mkuu!Navyojua mimi Professor ni jina la kiwalimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida
Hiyo ni ya kwako.Navyojua mimi Professor ni jina la kiwalimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida
Naomba uedit neno Prop.Mkuu nakuunga mkono, obviosly kwa hapa bongo mimi huwa namkubali sana Prop. Shivji, kwanza jamaa anaandika vitabu vya kutosha, pia uchambuzi wake ni wa kiwango cha kimataifa! Kifupi ni kwamba anajua nini anafanya na kwa wakati gani tofauti na hao wengine!
But kwenye suala la katiba mpya he was just a disappointment and coward! Alicheza chini ya kiwango big time.Mkuu nakuunga mkono, obviosly kwa hapa bongo mimi huwa namkubali sana Prop. Shivji, kwanza jamaa anaandika vitabu vya kutosha, pia uchambuzi wake ni wa kiwango cha kimataifa! Kifupi ni kwamba anajua nini anafanya na kwa wakati gani tofauti na hao wengine!
Kwani Tanzania ni US au UK?sio kila kinachofanya US na UK basi nasi tukifuateNavyojua mimi Professor ni jina la kiwalimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida
Kwani Uprofesa unajipachika ,sijasikia kama Mugabe amewahi kufundisha chuo kikuu pamoja na kuwa na hizo digrii,kuwa na digrii hakukufanyi tu basi uwe professor ,mambo mengine ni afadhali ukae kimya tu na digrii nyingi za Mugabe alipata kwa distance learning ni kama Elimu kwa Njia ya Posta,huwezi kumfananisha na kichwa LipumbaMfano Mugabe ana PHD tatu na hajawahi jiita prof..wakina prof wakina lipumba mwenye ofis yake buguruni.
Hiyo ni ya kwako.
Huwezi kuwa Professor bila kufundisha ila ukishapewa haijalishi.
Mwishoni utasema asiitwe mtu doctor kama hatibu.
Mkuu una hakika na hili au ni honorary degrees tu?Mfano Mugabe ana PHD tatu na hajawahi jiita prof..wakina prof wakina lipumba mwenye ofis yake buguruni.
Utumiaji wa jina/cheo professor unategemea nchi na nchi. Ni kweli kama US mara nyingi hutumiwa mtu anapokuwa anafundisha/anatafiti chuoni na mara aachapo ana acha kutumia jina/cheo hicho. Hapa kwetu tumekuwa na hiyo tabia ya kuendelea kuitwa Le Professeri hata kama umeachana na hilo jukumu lakini sijaona mahali popote ambapo imeandikwa ukiacha hiyo kazi basi na cheo hicho unakitema au chuo kina kuruhusu uendelee kutumia jina hilo (kwani ukishatoka chuo huna tena cheo hicho). Tukumbuke pia watanzania tunapenda sana hizi title ndio maana una mabalozi ambao hawajawa mabalozi nao wakiacha bado ni mabalozi. Rafiki zangu engineers waliona kuitwa Mr au Mrs au Miss Fulani haitoshi wakaona watangulize Eng. Hao wanaofanya kazi zahanati na vitu kama hivyo wote hujiita Dr. hata kama sheria hairuhusu. Tuna waheshimiwa ambao sio waheshimiwa. Kwa hiyo bora liende.Navyojua mimi Professor ni jina la kiwalimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida
Prof chachageKuiga kutatuponza jaman zaman wazungu walitengeneza nguo ili kuvaa mwili mzma kujikinga na baridi ,pia kmaadili sisi tulikua na magome tu ndo kama nguo ( tuliishi safi) wakaleta nguo tukaiga ,,,,leo hii wao wenyewe wnaturudisha kulekule kutembea uchi (vimin)
Mfano Mugabe ana PHD tatu na hajawahi jiita prof..wakina prof wakina lipumba mwenye ofis yake buguruni.