Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Kwa mwenendo wa utekaji nchini, na tukio la Makonda kuvamia clouds fm alafu kumbe movie anazoangaliaga jamaa ni za namna hii lazima kuna kitu hapa !!!
kweli cheo ni dhamana aisee, yaani anapiga simu tu aletewe, si ajabu aliyemtuma ana phd yake saafi,
Kwa mwenendo wa utekaji nchini, na tukio la Makonda kuvamia clouds fm alafu kumbe movie anazoangaliaga jamaa ni za namna hii lazima kuna kitu hapa !!!
Kama ana ndugu yeyote anayemjali ampeleke milembe haraka akatibiwe psychosis