Utumiaji wa snapsim apllication

ono

Member
Feb 13, 2014
9
1
Jamani msaada,

Kwa watumiaji wa hii application mimi nimetapeliwa hela na mtu na namba yake inapatikana mpaka sasa. Hivi naweza kutumia hiyo application ili niweze kujua location ya huyu mtu ili nimkamate? Maana inasemekana unaweza kupata message na calls ambazo huyu mtu anafanya bila yeye kujua.

Msaada jamani kwa anayejua kuhusu hii application.
 
Ndio haifanyi kaz ,ni ya wabongo ni ya utapel utaambiwa tuma hela i function, ndio kwaheri ushaliwa
 
Back
Top Bottom