TUCTA yatua rasmi Kilimanjaro

TUCTA yatua rasmi Kilimanjaro

Mangi Mkubwa

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
107
Reaction score
29
Habari za asubuhi.

Leo Junamosi Katibu Mkuu wa TUCTA atakutana na vyombo mbalimbali vya habari Mkoani Kilimanjaro kuzungumzia agenda mbalimbali kubwa itakuwa ni maandalizi siku kuu ya wafanyakazi Mei Mosi, Ukumbi wa Ofisi ya RC saa 2:30 asubuhi.

Nikiwa kama mdau wa masuala ya habari nami nitakuwepo.

Tupia swali la msingi ambalo unahisi linahitaji majibu niweze kumuuliza Katibu Mkuu wa TUCTA na kuhabarisha umma.

Wikiend njema.
 
TUCTA NI MAKADA WA CCM walimu mtaendelea kupewa kanga na simu mkapige kura na njaa zenu


Swissme
 
Back
Top Bottom