BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Nilishasema Mwanzo Lakini Naendelea Kukumbisha Kwani Bado Fursa Zipo
Machief Uwekezaji Kuna Watu Wana Hela Lakini Wanashindwa Uchaguzi Sahihi ,Wapi Wawekeze
Kutokana Na urahisishwaji wa miundombinu Ya usafiri, Kigamboni Kwa Sasa Imekua Kimbilio La Wakazi Wengi Si tu Wafanyakazi Serikalini Bali Pia Wanafunzi Wa Vyuo Karibia 6
Hili Limefanya Kuwe Na uhitaji Mkubwa Wa Hostel...Wanafunzi Wengi Kimbilio Lao Ni Kigamboni, Hasa Maeneo Ya Karibu Na Daraja, /pantoni
Kama una Hela Hii Ni Fursa Nzuri, ukijenga hestel Ya Kisasa Malipo Ni Mazuri Zaidi
Wasiliana nami nikutafutie viwanja Na maeneo Mazuri kwa biashara Hii
Call/sms/wtsp:+255718295182
______________________________
Nitumie tangazo la nyumba,viwanja ,mashamba, magari N.k.Nitatangaza Bure
wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.com
_______________________________
Bango