White Charcoal
Member
- Apr 5, 2017
- 20
- 10
Habari za asubuhi wanajamvi,
Mimi ni mnunuzi mzuri sana wa bidhaa za mtandaoni sana sana ebay. Leo katika pita pita zangu nikakuta kuna necklace imetengenezwa kwa sarafu yetu ya Tshs 1 ya mwaka 1992 inauzwa kama Usd 15 hivi.
Swali langu je sheria zetu zinaruhusu sarafu hizi kutumika kama necklace? Ukiachana na nje ya nchi huko inapouzwa.
Je mtu akiivaa hapa bongo haitoleta mushkeri kweli?