KBH...Katala beach hotel ipo pembezon mwa ziwa singidanWakuu habarini za leo? Nipo njiani naelekea Singida. Naomba anaejua hoteli nzuri ya kisasa iliyopo Singida mjini anijuze. Napenda sehemu safi na tulivu, pia yenye chakula kizuri. Bajeti yangu ni 50,000. Natanguliza shukrani za dhati..