Wajipange vipi tena sansana wafundi wasifanye kazi kinyume na sheria. Simu imefungwa kwa sababu maalumu wewe unaifungua madhara ndio hayo! Tuwaelimishe wadogo zetu ili wafanye kazi kiusalama zaidi!
Kumbe teknolojia wanayotumia TCRA kufunga simu kama walizozifunga zile feki (zinazotumia nembo za kampuni zingine, not fake in the meaning of very low quality) ni ya kirahisi kiasi kile hadi fundi tu wa mitaani, asiye na training ya maana, anaweza ku flash kiurahisi hako kakifungo kao.
TCRA waache kumsumbua huyo fundi bali waboreshe hiyo teknolojia yao ya kufunga simu zisizotakiwa au zinazotishia usalama wa raia au wa taifa letu. Fundi huyo alipelekewa simu ambayo ilikuwa haikamati mawasiliano ili aitengeneze. Inawezekana kabisa si fundi wala mwenye simu hawakujua kama simu ile ilikuwa imefungwa na tcra. Fundi kairekebisha na simu ikapona. TCRA walipaswa kumpa pongezi fundi huyo kwa kuwaonyesha weakness katika teknolojia hiyo ya kufunga simu, kitu ambacho waharifu na watu wengine wabaya kwa usalama wa nchi yetu hususani Al Shabah wanaweza kukitumia. Wanapaswa kumpa zawadi na si kumpeleka mahakamani. Alipaswa awafundishe tcra weakness ilipo ya hiyo teknolojia. Na wapo wengi tu wanao flush simu zinapokuwa na matatizo mbali mbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.