Wadau kuna habari zinasambaa kwa kasi sana mitandaoni kwamba sukari imeanza kupanda bei kutoka 2000 mpaka 2500...huku niliko sasa hivi inauzwa 2300 kutoka 2100.
Habarini za asb ndugu zangu...
Yaani nimegundua watu wanawaamini viongozi wa dini kuliko wanasiasa.
Wakiagizwa kitu kwa mgongo wa Imani wanakifanya kwa moyo wote kuliko kwa mgongo wa kisiasa.
Nadhani hawa watu pia wananafasi...
Ni jambo la aibu sana kuona waziri anayehusika na ulinzi+usalama yuko kimya hadi leo lakini tukio lingewakuta police siku hiyo hiyo angezungumza chechote halafu hizi silaha wizara husika iwe...
Naomba kuuliza kuwa hasa Kwawaislam kunakitabu cha Imam ghazari bin ghazari nakihitaji kwa yeyote aliyenacho plz naomba tuwasiliane Kwa no 0675910997 inshallah
Nimesikitishwa sana na taarifa za kuvamiwa kwa wanachama wa CUF na kujeruhiwa kwa baadhi ya waandishi na wanachama waliokuwepo ktk mkutano huo. Siku kadhaa nyuma mkuu wa mkoa alimhakikiashia mh...
Nimeshangazwa na kitendo kilichotokea cha mkutano wa CUF kuvamiwa na watu waliovaa maski na wnye silaha za moto chenye waandishi wa habari. Cha kushangaza zaidi watu hao hawajakamatwa na hakuna...
Hello JF,
Sijui mnalionaje wazo hili?
Mawaziri wasiwe wanateuliwa na mkuu bali uchaguzi wao uwe kama watu wengine wanavyopata kazi.
Yaani ajira zitangazwe, kufanyike interview, then whoever is...
Hello JF,
Nilikua nadhani, waajiri pamoja na Rais wetu, wasingekuwa wanaajiri watu wa zamani, watu na ma Phd za zamani mno wasingepewa sehemu, lol!
Wakati huo walivyokua awarded hizo degree zao...
10 THINGS YOU SHOULD ALWAYS DO TO SAVE FUEL
1. Accelerate smoothly
The perfect way to save fuel is to travel at a steady speed. We recommend a speed of 50mph, and in the highest gear so if you...
Ngasa kadai ameshindwa 'kuperformance' sababu sababu alikua anakatwa hela zote.
Sasa najiuliza kulikua na ulazima gani wa kutumia kiingereza?!
Afu mademu,iv kweli Ngasa angekua ka mimi tu...
MATATIZO mengi yanayotokea kwa binadamu, husababishwa na mwanzo mbaya wa mipango ya maisha yake. Ni asilimia ndogo sana ya matatizo hutokea kwa bahati mbaya tu kutokana na sababu za hapa na pale...
Habari ya asubuhi wadau.... Niko ndani ya gari la abiria, natoka Dar naelekea Arusha... Hali ya hewa ni nzuri kabisa, ubaridi ukichagizwa na rasharasha za mvua....
Safari yangu imeanzia Ubungo...
Hii kitu inauzi sana vijana kweli vijana mmewapa ajira ilikuwa ni kilio chao lakini kwanini mnawafanyia hivi asilimia kubwa ya hawa vijana ajira mpya uwalimu sayansi mpaka leo baadhi ya...
-Nunua mafuta ya simba
-UDI Wa kijiti 4
-Unga Wa baruti
-Magome ya mkungu yaliyokauka
Changanya mafuta ya simba,baruti,na unga Wa magome ya mkungu
Pakaa Dawa hyo kwenye UDI 4 za...
Habari zenu wanajamiii
Napenda kukumbusha kwamba Tanzania inapambana sana na vita dhidi ya vifo vya mama na mtoto kabla na baada ya kujifungua.
Lakini suala hili bila ushirikiano wako wewe...
Takari ya Leo
MAMA BABA YETU NAYE ATAKUFA LINI
Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumbani, kama kawaida yangu nilikua nimelewa chakari, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni...
Awali ya yote Napenda kuwapa pole na majukumu yenu ya kutwa nzima katika kujenga taifa hili la Tanzania .
Nimeleta Uzi huu hapa mahsusi kwa ajili ya kuleta changamoto katika sekta ya afya na...
Nawashangaa sana watu wanaowaandama polisi kwa kuchapa kazi ipasavyo. Hali huko Rufiji, Kibiti, Mchukwi na Pwani kwa ujumla si nzuri hata kidogo.
Hili suala si la vyama ni la kitaifa kabisa...
Mchinga na Akundo bendi zilizovuma sana zilimilikiwa na watu ambao walikuwa mawaziri zimekufa kifo cha mende mara tu baada ya wamiliki kutemwa uwaziri,ina maana vyeo vyao ndio vilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.