Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Wekeni mtaji wa kutosha ili kutengeneza movies zenye ubora na uhalisia. Kwa gahrama za kuandaa movie ya 3M mtawauzia ndugu, jamaa na rafiki zenu tu. 2. Utunzi wa hadithi ujae ubunifu. Video...
13 Reactions
86 Replies
14K Views
OK, bongo movie wajiulize ni kwanini movie zao zimeshuka sana kimauzo katika awamu hii ya tano? Kwa akili zao fupi (ndio maana wamemkimbilia bashite) eti wanajidanganya kuwa ni kwa sababu ya movie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za kushinda wanaJF, Imekuwa ni kawaida ya wanasiasa wa hapa kwetu kuahidi mambo makubwa wanapokuwa kwenye mikusanyiko mbalimbali kama vile majimboni, vijiweni na sehemu zingine, lakini...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Habari za wakati huu wadau. By jumanne ya tarehe 02/05/2017 natakiwa niwe Nairobi. Sijawahi fanya safari za upande huo. Nilikuwa naomba maelezo ya jinsi gani naweza kusafiri hadi kufika kule...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utawezaje kumuamsha aliyelala ukiwa umelala? Kamwe huwezi kumuamsha aliyelala ukiwa umelala ni lazima kwanza uwamke ndo uweze kumuamsha aliyelala. Hivyo hivyo kwenye biashara na ujasiriamali hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Changamoto ya mtaji ni tatizo kubwa kutokana asilimia kubwa ya vijana hatukopesheki hivyo wengi wetu inatulazimu kutafuta mitaji yetu wenyewe, lakini tatizo kubwa ninaloliona kwa baadhi ya vijana...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mm ni mmoja ya wadau wakubwa wa kipind pendwa cha mada moto kimekuwa kiki nielimisha mambo mengi sana hasa ya kisiasa ghafla kipind hik kimepotea kunani?
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Kama maelekezo ya Tanzania Tourist board yanavyoeleza, tuipigie kura Mlima Kilimanjaro kwenye tuzo za "World Travel Awards 2017" mwisho wa kura ni mwezi wa nane mwaka huu. Wingi wa kura zetu ndio...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
AJALI KATIKA MACHIMBO: Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeruhiwa na taarifa zinasema kuwa kuwa watu wengine wapatao watatu wakiwa bado wamefukiwa kwenye kifusi cha machimbo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimebahatika kumiliki gari langu la pili tangu nizaliwe, la kwanza niliuza, ilikuwa vitz sasa nina IST Wakuu nina hamu ya kuendesha vibaya sana situliii, vitz nilikaa nayo miaka 4 kwahiyo...
9 Reactions
151 Replies
12K Views
Wakuu habari za mihangaiko…!!! Katika pitapita zangu mitandaoni nmkutana na habari hii nikaon sio vibaya kushare pamoja nanyi…!!! katika website ya mwananchi(mwananchi online) kuna habari inasema...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu, katika pita pita yangu, nimekutana na hili nikaona niwaletee na nyie pia. Kuna aina mpya ya kumiliki fedha onlione wataalam wanaita cryptocurrencies, naona wenzetu Uganda wameshaanza, kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu Waziri wa Habari, Michezo na Wasanii Tz si kawaida kwa msomi wa Level ya PhD. Huyu jamaa alikuwa Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa kuchuguza sakata la Richmond. Akahitimisha ripoti bila ya...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Hope wakuu mko fine! Niende kwenye hoja moja kwa moja. Wakati tukiwa ktk hali tunaposhuudia ongezekezo la idadi ya watu wasio na kazi iwe kwa wasomi na wasioenda shule; vijana bado tunashinda...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu? Nimeamua nianzishe uzi huu ilitujifunze kwa wale ambao hatufahamu mambo haya:- Imepita siku kadhaa baada ya ndugu yangu kukamatwa na maaskari kwa kosa la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuliambiwa General Tyre Kitafufuka, viwanda vya nguo Kanda ya ziwa na Mbeya vitafufuka, waliobinafsishiwa na kugeuza viwanda godowns watalazimishwa kuviendeleza laah! Wapokonywe nk nk. Ajabu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna ndg zangu wawili wamekumbwa nah ii ishu ya vyeti feki, hao jamaa walikuwa marafiki tangu wapo shule ya msingi Fulani hivi na baadae mpaka walipochaguliwa kujiunga na elimu ya Sekondari huko...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tusipotezeane muda. Twende direct to the point: Ukweli usiopingika ni kuwa, huyu bashite mnayemfikiri anania ya kuwasaidia, ni nyinyi mnayemsaidia. Hata nyinyi mnatambua kuwa anatabia ya kutaka...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Mimi naitwa bwana KIPARA, Hapa mjini Dar es salaam nina mwezi mmoja, nimekuja kwa sababu nimeletwa huku kikazi toka Mwanza. Nina mke na watoto wawili wasichana wanasoma mmoja darasa la tano...
7 Reactions
161 Replies
35K Views
Back
Top Bottom