Tangu nimeanza kufanya online pyrchases sijawahi kukutwa na janga la kunihuzunisha.
Mi huo naenda kwa machale. Mzigo ukiwa ghali naacha kama naweza kuusplit nanunua nusu ukifika namalizia nusu...
Habali zenu waungwana wa jukwa hili pendwa hakika yesu ni mwema sana maana yeye ndo bwwna na mwokoz wetu hakika ukomboz uko upande wetu mbalikiwe sana
Nisitake kuwachosha sana waungwana wangu...
Mimi sijui kama kuna umuhimu wa kuwa na polisi,kwa sababu ukifikisha shauri polisi umeisha.Trafiki wako barabarani kunyanyasa raia kwa kulipa faini za ujinga.Hivi polisi wanajisikiaje kwenye...
Katika maeneo ya kongowe kijiji cha kipara mpakani chatu kashindwa kutembea kwa sababu kameza kenge pamoja na kopo la rangi la Lita nne njaa mpaka yoka
Habali wapendwa wote mlio wema na msio wema nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hawa wanaoitwa wachawi kama mshana jr kitu gan huwasukuma kuloga watu, kwanini huroga watu na inabidi uweje ndo...
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu...
wakuu kuna taarifa ya kuwa Kivuko cha Mv Ukara kimezimika Engine zake kikiwa katikati ya ziwa Victoria huko geita hebu wenye taarifa tupeni update kinachoendelea huko.........Mungu awalinde...
Jamani mimi nimevumilia hadi sasa nimeamua tu nije humu niwape hii taarifa,Kila mara Raisi wetu anasema anataka nchi hii iwe ya viwanda pamoja na Professor Muhongo kasema mtwara kuna umeme mwingi...
Tembo zaidi ya 20 wamevamia vijiji vya Wenje mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wakitokea nchini Msumbiji ambapo tembo wawili wameuawa na wananchi na kuondolewa meno mawili na kugawana nyama yao...
Kuna ajali mbaya sana imetokea maeneo ya Mbezi kwa Msuguli jioni hii mkabala na maegesho ya malori ya kutoka mikoani.Ajali imehusisha gari (daladala) inayofanya safari zake kati ya Mbezi Mwisho na...
Kumekuwepo na nguvu kubwa kuwafulusha machangudoa ktk maeneo yao sasa tujiandae kukumbana na madhira yafuatayo
1.Vitendo vya ngono vitafanyika hovyo hovyo kila mahali ktk mikusanyiko,mfano...
Ndugu mliopo humu JF
Naomba ufafanuzi wa hizi nafasi na kazi zake na zinatumika sehemu gani..
1. CEO---chief executive officers wana apply wapi na kazi zao ni nini
2. Directors---hawa wakurugenzi...
Nimekutana na mke wa DAUDI BASHITE hivyo inatakiwa nizae naye leo leo maana yeye ameshindwa kumzalisha hivyo inatakiwa nispend naye maeneo ya ilala hadi jumapili jioni ila hotel iwe na ulinzi wa...
1. Wekeni mtaji wa kutosha ili kutengeneza movies zenye ubora na uhalisia. Kwa gahrama za kuandaa movie ya 3M mtawauzia ndugu, jamaa na rafiki zenu tu.
2. Utunzi wa hadithi ujae ubunifu. Video...
OK, bongo movie wajiulize ni kwanini movie zao zimeshuka sana kimauzo katika awamu hii ya tano? Kwa akili zao fupi (ndio maana wamemkimbilia bashite) eti wanajidanganya kuwa ni kwa sababu ya movie...
Habari za kushinda wanaJF,
Imekuwa ni kawaida ya wanasiasa wa hapa kwetu kuahidi mambo makubwa wanapokuwa kwenye mikusanyiko mbalimbali kama vile majimboni, vijiweni na sehemu zingine, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.