Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,137
Wakuu Wasalaam,
Ninauliza hivyo kwa sababu kila mwisho wa Mwezi kuna watu wanapanga mstari kupokea hizi pesa lakini hali zao za maisha tunazifahamu. Kimaisha wako vizuri na hawastahili kupokea hizi pesa.
Lakini watu ambao kweli wana hali mbaya na wanalea watoto ambao wazazi wao walikwisha fariki lakini hawapewi hizi pesa.
Je waliangalia vigezo gani maana ninavyojua huu mfuko ni kwa ajili ya kaya maskini.