Habari zenu ndugu zangu!
"Changamoto zinapozidi fursa zinaongezeka"
Nianze Kwa tafakari " je, unatambua ipo siku utakufa?, je, unatambua utachimbiwa shimo na ufukiwe Kwa mchanga? Unatambua ni...
Hello JF,
leo ningependa kutoa wazo kwa mtu yeyote afungue NGO ya kuelimisha jamii kutumia kompyuta.
ingependeza kuwe na computer centres kwa ajili ya wanafunzi hasa wa kidato cha sita na...
Moja ya matukio yaliyoshika headline hapa bongo ni pamoja na bongo movie kudorora baada ya marehemu Kanumba kuaga dunia twende pamoja.
1. Actors/actresses wamejikita zaidi kwenye ngono wakati...
Ndugu wanaJF,
Mimi jana nifika katika ofisi za PPF kuuliza chochote baada ya kupata tetesi kuwa wameaza kutoa lile fao la kujitoa, ambalo mwanzoni kabisa walisema hawatatoa mpaka ufikishe miaka...
Wakuu salamu,
Kuna tetesi zimeenea ya kwamba PPF wameanza kutoa fao la kujitoa, je? Kuna ukweli wowote katika hilo wakuu? Maana nilipoona nimedhulumiwa nikaamua kuondoka na kwenda zangu Kenya...
Jamani nimefuatilia mafao yangu PPF hivi sasa ni miezi 8 lakini kila ukifika ofisini kwao wanapiga tarehe wanakwambia njoo mwez ujao bado serekal inashughulikia hizo pesa. Ukiuliza kwanini...
Habari ya weekend jamani.
Nadhani mada yangu ilishaeleweka kupitia swali hilo.
Tumekuwa tukiskia mara nyingi viongozi wakubwa,baadhi ya watu wakijitetea kuwa hali ngumu ya maisha ipokwa wale tu...
Habari, kumekua na malalamiko kwamba wakazi walio karibu na hifadhi/mapori wanavamiwa marakwamara na wanyama tembo. Ifuatayo ni njia rahisi zaidi kuwafukuza tembo kukukaribia!
Kwa kawaida mnyama...
Nashindwa kuielewa Serikali katika swala la kuwapangia shule wanafunzi wanaotarajia kujiunga na kidato cha tano.
Madogo wana-loose tu mtaani huku. Mtoto amemaliza mtihani wa kidato cha nne mwaka...
Poleni na majukumu wana jf
Tangu serikari izuie swala la huamisho wa watumishi kumekuwa na wakati mgumu sana kwa watumishi walio funga ndoa,ndoa nyingi zimepoteza muelekeo,si zani kama serikali...
Kwa hapa TZ ni mwandishi gani unaweza kumfananisha na mwandishi wa Kenya Mohamed Ali.. wa jicho pevu.... Katika utoaji wa habari kwa wananchi...bila woga au kupendelea upande wowote.
Wakazi wa tarafa ya Wangingo’mbe mkoani Njombe wako hataraini kukumbwa na baa la njaa kutokana na eneo la tarafa hiyo mvua kukatika kabla ya mazao yao kukomaa kutokana na uharibifu wa mazingira...
inasikitisha mno licha ya hali ngumu ya maisha inayowakabili watanzania wengi leo watanzania wanaoelekea kilimanjaro wamelipa 80000 kupata tiketi za bus huku ticketi zao zikiandikwa 23000
hata...
Polisi nchini Kenya wanawashikilia Watanzania 6 kwa tuhuma za ugaidi. Wamekamatwa Garisa na inasemekana walikuwa wakielekea Somalia Kujiunga na magaidi wa Al Shabab. Wameshikwa wakiwana silaha...
Tarehe kumi na tatu ya mwezi huu nilinunua kifurushi cha mb cha shilingi elfu tano kupitia account yangu ya Tigo pesa, lakini hakijafika kifurushi na pesa yangu mmechukua.
Nikaona rabda kitakuja...
Kwa takribani mwaka mzima uhamisho kwa watumishi wa umma umezuiliwa. Kwa kuwa haijulikani ni lini utaruhusiwa, mimi nashauri ni bora kwa wale walioomba kuhama kwa sababu za kiafya wakahamishwa tu...
Baada ya kupitisha katazo la kutonunua filamu za nje hili kuruhusu Bongo Movie ipate kupaaa na kukonga nyoyo za watizamaji ...
Njooni mtupe mrejesho kama mifuko imeanza kutuna kwa note na...
Ni jambo lililo wazi ya kwamba moja ya vitu vinavyopelekea sisi watanzania kushindwa kupiga hatua katika maisha yetu ni kukosa maarifa ua uongozi bora. Kwa sasa tuna tatizo kubwa sana la kiuongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.