Kulikoni Gazeti la Sauti Huru!!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Nimekuwa nikisoma hili gazeti linaloitwa Sauti Huru, gazeti la jana, nliyoyaona humo mpaka nikatamani nicheke kwa sauti kubwa!!!

Hivi hili gazeti ndo kawaida yake kuandika hivi au..!??(maana sijawahi liona hapo kabla) Habari zoooote ni za kiuchochezi dhidi ya Chadema... Mara wamemtukana JK, mara bendera yao ya kumwaga damu, mara wanachochea vurugu, mara wabunge viti maalum wa Chadema utata, mara Chadema wameandaa magazeti ya kutangaza ushindi feki, pia wakaona hiyo haitoshi wakamuingiza na mzee mwanakijiji humo humo kwa kummwagia kashfa za kila aina...

Yaani mpaka nikajiuliza hivi ingekuwa ndo yameandikwa haya kuelekezwa kwa CCM lingechukua Round hili gazeti kweli!!?? Yaan gazeti zima limejaa habari za kashfa tuuuuu mpaka linaboa!!

aaarghhh..!!!
 
Haya labda yatafutwa baada ya uchaguzi, maana kwa vihela walivyopokea credibility yao tayari imeondoka
means biashara kwao basi....
Ngoja tuone hao wafanyakazi wataomba kazi wapi???
 
Pia RAI, HABARI LEO nk, ZERO CREDIBILITY. Uhuru sawa kwani linaeleweka ni la CCM!
Ndg zangu, ukitaka kuzuia mafuriko, usizuie kwa kutumia MIKONO! Chunguza magazeti yanayoisha haraka, hayo ndo yanawakilisha mafuriko!
 
Hili ni gazeti linalofadhiliwa kipesa na Subhash Patel -- jizi kubwa la fedha za Watz.
 
na wewe anzisha gazeti lako ufanye kama walivyofanya sauti uone kama kuna mtu atakufuata
 
Leo kwa mara ya kwanza nimenunua gazeti la RAI. Mara ya mwisho nilinunua mwaka 2005. Lengo nilitaka niweke kumbukumbu ya waandishi ambao wameamua kuwasaliti waTanzania wenzao kwa kulamba miguu ya Waporaji wa mali za umma.

Kichwa cha habari kama kawaida:
1. SLAA HAFAI KUWA RAISI
wameeeleza upuopu kibao na hata hauna mpangilio! Nilipofika sokoni wakati wa kuulizia magazeti, wauzaji waliniambia magazeti ya leo hayajafika, ila lipo la Rostam kama unataka! nimeshangaa sana kwamba hata muuzaji, hapendi kuliuza gazeti hilo. Naamini hii kumbu kumbu niliyochukua nitakuja onyesha watoto wangu whuko mbeleni
Halafu wakaja na kichwa cha habari kingine:
2.KIKWETE ANAFAA KUONGOZA:
Halafu wakajaza tena upupu mwingine kibao....waliponichekesha zaid ni pale waliposema eti Slaa hana haiba ya kuongoza! Tena wakamlinganisha na Hitler na mauaji ya Wayahudi.
Kweli ni aibu

SHAME ,SHAME ,SHAME on you guys!!!
 
Hili siyo gazeti pekee, Magazeti vuvuzela yamekuwa mengi kwa kipindi hiki. Bahati mbaya sana hawajui kuwa kwa kuandika uongo wa wazi wanajidharirisha wenyewe.:bowl:
 
Magazeti ya MFISADI yapo mengi; naomba niyataje:
RAI, MTANZANIA, SAUTI HURU, ANNUR (lILE LA Kiisilam).

Yote haya yanafadhiliwa na MFISADI kwa ajili ya maslahi yao binafsi ili MAFISADI waendelee kunufaika na rasilimali za taifa hili. Mnakumbuka mikataba mibovu iliyofungwa ili kuwanufaisha MAFISADI. Naomba niitaje michache:
EPA bilioni 132
RICHMOND Walilipwa Milioni 132 kwa siku (Kumbw kampuni hewa)
DOWANS
Kagoda Bilioni 40
Rada Bilioni 30
Ndege ya Rais Bilioni 40
IPTL
BUZWAGI
HELCOPITA ZA JESHI
TRL (Reli ya Kati)
MEREMETA Bilion 175
MGODI WA KIWIRA
MGODI WA BUHEMBA

Ndugu zangu Watanzania tukatae kuyanunua

Na tarehe 31/10/2010 tuwapige chini MAFISADI kwa kupiga kura kwa Mgombea wetu makini mwenye uwezo wa kupambana na UFISADI ambaye ni DR. SLAA
 
Nikisoma vichwa vya magazeti ya Habari corporation picha inayonijia ni uoga wa Rostam wa hatima yake baada ya uchaguzi na pia utumwa wa waandishi wa magazeti hayo maana najua nafsi zao zinawasuta lakini njaa wafanyeje? wanyonyaji ndo wanashikilia mpini.
 
Nimekuwa nikisoma hili gazeti linaloitwa Sauti Huru ..gazeti la jana, nliyoyaona humo mpaka nikatamani nicheke kwa sauti kubwa!!! Hivi hili gazeti ndo kawaida yake kuandika hivi au..!??(maana sijawahi liona hapo kabla) Habari zoooote ni za kiuchochezi dhidi ya Chadema....mara wamemtukana JK, mara bendera yao ya kumwaga damu, mara wanachochea vurugu, mara wabunge viti maalum wa chadema utata, mara Chadema wameandaa magazeti ya kutangaza ushindi feki, pia wakaona hiyo haitoshi wakamuingiza na mzee mwanakijiji humo humo kwa kummwagia kashfa za kila aina...yaan mpaka nikajiuliza hivi ingekuwa ndo yameandikwa haya kuelekezwa kwa ccm lingechukua Round hili gazeti kweli!!?? Yaan gazeti zima limejaa habari za kashfa tuuuuu mpaka linaboa!!
aaarghhh...:puke:!!!!

The best way to insult a fool is to ignore him / her
 
hahahaaa, kumbe ni sauti huru? Hilo gazeti nalifahamu vizuri na waandishi wake pia. Ni kagazeti kanakofadhiliwa na edward lowassa na somebody patel.

kama ulikuwa hujui, hata habari za kuandika huwa wanapewa na hao "waume zao". Waliwahi kuonekana wanatoka ofisini kwa lowassa usiku.

mhariri wake bw.bollen ngetti haijulikani taaluma ya uandishi ameitoa wapi maana alifeli kidato cha nne. Nina mengi nayoyajua kuhusu hao sato wa sauti ya mafisadi wanaojiita sauti huru. Usishangae kaka, wanawatumikia waume zao. Ila usihofu maana , dr.slaa atakapoingia madarakani atayafuta yote.
 
Mkuu tujuze mengine unayoyajua ya sauti huru!! :) :)
 
Back
Top Bottom