Bashite atajwa tena bungeni

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433

Mbune wa Jimbo la Buyungu, Wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Mheshimiwa Kasuku Bilago wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ahoji cheti cha Bashite kina nini? kwanini kinafichwa tuu.

Analindwa na nani?
 
Huyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Tuache double standard. Wale walioondolewa kwenye ajira kwa kughushi vyeti,je uchumi wetu umeongezeka? Tumeongeza GDP au PPP? Suala ni utaratibu na takwa la kisheria kuwa lazima kila mtumishi awe na vyeti halali,ni hilo tu!
 
Back
Top Bottom