Baada ya kuomba kazi kwa Magufuli na kukosa sasa anaomba sukari

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
fc9485b5eb237dd6ee4d698856342913.jpg

Mwenyekiti wa bodi ya Parole, Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.

Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo.
 
Nimecheka sana badala aombe Unga wa dona kwa ajiri ya ugonjwa wake ant diabetes yeye anaomba sukari
Atakuwa anaduka huyu si bure
 
uchagani sukari na mbege wazee wanathamini sana hata kama hatumii na sijui kwa nini aisee? mbatia mpelekee babu wa watu hiyo suakari atakufikyia upate laana
Tanzania ni tofauti na nchi nyingine Mgombea akisema sina hela hachaguliwi ila akisema nitagawa sukari 50kg na bomba za maji zitatoa konyagi anachaguliwa wacha mrema aisome namba ya jpm
 
Tanzania ni tofauti na nchi nyingine Mgombea akisema sina hela hachaguliwi ila akisema nitagawa sukari 50kg na bomba za maji zitatoa konyagi anachaguliwa wacha mrema aisome namba ya jpm
h ahhahaaha anakaribia kumalizia kusoma namba
 
Back
Top Bottom