Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siri nzito yafichuka 2007-11-19 08:23:47 Na George Ramadhan, PST Mwanza Fedha nyingi za halmashauri zinazotengwa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo, zimedaiwa zimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kampuni binafsi za ulinzi nchini, zimekataa kulipa kima kipya cha mshahara wa Sh. 80,000 kwa wafanyakazi wake, licha ya serikali kuagiza viwango hivyo kulipwa na sekta binafsi kuanzia Januari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nyoka nyuma ya TSh 500 anamaana gani?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Hili tunda la chungwa lina maana gani??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nitakuwa London lakini sijui nijimwage wapi..of course sitaki kujichanganya na wabongo pale CHOONI (CLUB AFRIQUE) lakini naomba ushauri kuhusu clubs au sehemu nzuri za kujimwaga zenye mademu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuhusu kupanda kwa bei ya umeme Zanzibar kwa asilimia 168, kutoka Sh 28 hadi Sh 75 kwa kilowati moja, Masebu alisema hiyo inatokana na wateja wa Zanzibar ambao ni Shirika la Umeme na Mafuta la...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
jamani huyu bwana kule kwao wamemkataa kumpitisha kwenye NEC huku ofisini kila kukicha migogoro na anategemewa kugombea nafasi ya urais zanzibar. jee huku ndio mwisho wake umefika au kuna nn...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je kuna matumaini ya kuwa italeta mageuzi ya kiuchumi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nigeria corruption tsar sidelined BBC News Online Nuhu Ribadu was promoted in April The head of Nigeria's anti-corruption unit has reportedly been ordered to go on year-long study...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka jana mkuu wa nchi alikuwa na mapumziko kwa muda wa siku 5 moja pale sasakwa lodge amabyo iko serengeti,Gharama zake per nite ni $1800,na alikuwa na ujumbe wa watu 25 ambao unajumuisha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakati Serikali inapiga kelele juu ya haki za watanzania wote bila kujali elimu zamu wala kimo,utajiri na rangi leo hii Waziri kama wewe unadiriki kuwatumikisha wasiachana kwa kitanzania kama...
0 Reactions
119 Replies
23K Views
Mapadre kuoa sio dawa ya matatizo - Pengo Ahoji: Mbona wanandoa wenye watoto, wataalamu wanabaka na kunajisi? Ataka wasigeuze sakramenti kuwa mali yao Na Joseph Sabinus 2002 ASKOFU Mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Venezuelan President Hugo Chavez said three hostages held by the Revolutionary Armed Forces of Colombia, or FARC, could be in Venezuela by sundown if an operation to transfer them begins Thursday...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
fitna iko hapa: issamichuzi.blogspot.com/ salamu toka bongocelebrity.com wadau kunradhi, leo nimepokea ujumbe maridhawa toka bongocelebrity.com ambao mhusika alisita kuutundika na badala yake...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Barron Hilton to donate most of fortune Paris' grandfather bequeaths 97% of his $2.3-billion net worth to the charity foundation started by his father. By Susannah Rosenblatt Los Angeles...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Vita dhidi ya rushwa unafiki mtupu - Askofu 2007-12-25 11:14:34 Na Simon Mhina Vita dhidi ya rushwa na ufisadi itaendelea kuwa ngumu, kwa vile wengi wanaodai kuipiga vita ni wanafiki na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni. Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Samahani wana JF, nimekuwa nikipata sana shida kupiga simu katika mtandao wa Vodacom nyumbani (niko nje ya nchi), sijajua shida iko wapi! Kuna wakati huwa nikipiga simu inaita kama kawaida ila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili ni ombi maalum kutoka kwangu binafsi kwenda kwenu wanaJF. Moderators naomba mnisaidie kuliweka mahali muafaka ambako wengi watalisoma. Kama baadhi yenu mnavyofahamu, nafanya masomo ya PhD...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I have been reading some of the threads Ndugu zetu kutoka bongo wamekuwa wakipost and looking at them you are left wondering whether the words HOPE,OPTIMISM ever exists in their vocabulary .Be it...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…