Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, Kang Mengru, ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Rafiki zangu waliniomba niwasaidie kufikisha habari hii kwenu ili muichambue. Kumezuka tabia ya viongozi kulazimisha mapenzi kutoka kwa wafanyakazi wa kike, wakubwa hao wanaofahamika kwa majina...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
I never thought of this....... This lady has now changed her habit of how she lists her names on her mobile phone after her handbag was stolen. Her handbag, which contained her cell phone, credit...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shalom wakuu, Hivi lile sakata la DECI limefikia wapi? Tafadhali tujuzeni chochote kuhusu suala hilo? Au pesa za wahusika zimeyeyukia baharini?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa muda mrefu suala la uteuzi wa viongozi katika Tanzania nikashindwa kuelewa usahihi wa mtu kustaafu, eneo moja (hasa jeshini) na kisha kupewa madaraka mengine eneo jingine. Kwa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Yesterday’s developments came in the wake of emerging information that President Museveni and the Kabaka are this week expected to meet for showdown talks. Sources close to the Presidency told...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maelfu Waandamana Marekani Kupinga Serikali ya Obama Maelfu waliojitokeza jana kupinga utawala wa Obama Maelfu ya watu wakibeba mabango yanayopinga utawala wa rais Obama na mageuzi yake katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, hivyi karibuni kumekuwa na shindano la soda fulani na "slogan" ya patapata ambapo ni kawaida ya makampuni kurudisha faida waliyopata kwa wateja wao kwa kuwazawadia pesa taslim au soda za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau! Hivyi hii promotion ya TiGo ya kukwangua kuanzia vocha ya shs 5000/= ndy ushinde mnakubaliana nayo? maana sikatai ila kama kweli dhamira yao ilikuwa kurudisha faida kwa wananchi kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sunday, 13th September, 2009E-mail article Print article Kayihura and Migereko address journalists at the media centre yesterday By Catherine Bekunda POLICE chief Maj. Gen. Kale Kayihura has...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monitor Team Kampala Security agents yesterday picked up Kyaddondo South MP Issa Kikungwe as the government moved to crack down on alleged ring leaders of the violent riots that engulfed Kampala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
September 12, 2009Idadi ya masheikh yapunguzwa katika mchakato wa kumpata kadhiNa Salim Said MASHEIKH walioteuliwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba kukutana na wataalamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Samuel Kamndaya The Citizen Sept 10, 2009 A conference to discuss ways of boosting agricultural production in Africa will be held in Zanzibar later this month, its organisers have said. The...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friday, September 11, 2009 4:53 AM Jamaa mmoja wa nchini Austria alipiga dua zote alizozijua wakati aliponasa kwenye lifti na baada ya kuokolewa alikimbilia moja kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais anajua adha wanayopata watz ndio maana hana hamu ya kukutana nao uso kwa uso kwani anajua kinachoweza kutokea......alishapata experience mbeya pale msafara wake ulipopolewa mawe.Hawezi tena...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AP – FILE - In this April 6, 2009 file photo Gertrude Baines celebrates her 115th birthday, at the Western … By JOHN ROGERS, Associated Press...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Work on EAC house set to startBy The Citizen Reporter, Arusha The construction of the East African Community (EAC) headquarters in Arusha, is set to start in November, this year, after a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona taratibu Wabongo tunajisogeza kwenye hulka ya Wanaija. Inasemekana wabongo watatu zaidi huko Chicago wanashikiliwa na poilisi kwenye hii ishu. Ukweli kuhusu kesi yenyewe ni huu hapa chini:
0 Reactions
9 Replies
4K Views
ASKARI WAENDELEE HIVI Katika safari zangu katika mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania kwa kipindi cha wiki 2 hivi nimeona mabadiliko sana haswa kwa askari wa usalama barabarani kwa kweli hatua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndio maana leo tunawaona baadhi ya watu kila ndege zikituwa julias airport nawao wamo ndani. Last updated at 4:23 PM on 11th September 2009...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom