NEW YEAR wapi?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
825
Mimi nitakuwa London lakini sijui nijimwage wapi..of course sitaki kujichanganya na wabongo pale CHOONI (CLUB AFRIQUE) lakini naomba ushauri kuhusu clubs au sehemu nzuri za kujimwaga zenye mademu wazuri wasio ringa na wasafi
 
Kama hutaki kujichanganya na wabongo wenzako "CHOONI" panda daladala uje kwetu Manzese kwa mfuga mbwa.
 
Mambo yote Velvet Room au The Compound...
Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa...
 
Kuna kila dalili nitakuwa CHINA WHITE lakini kiingilio chake ni sawa na 245,000 ZA KIBONGO

hiyo si hatari kwa starehe ya masaa 5 tu jamani?
 
Mambo yote Velvet Room au The Compound...
Kukiboa huko basi nina uhakika Body Tap, Magic City au Strokers hakutaboa...

Ha ha duh umenikumbusha mbali sana wewe, 2005 pale Magic City jamaa uwa wanakufuru. Jazzy T bado hiko? Alafu nasikia waungwana waliiunguza Onyx.

Mambo ya kuangalia Ball inadrop huku uso ukikuganda tuu ukitoka hapo unaangalia ustaarabu wa kutinga club.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom