Nini Hatma ya serikari ya Kikwete???

Nadhani ungetuoa mawazo/uchambuzi wako kwanza ili tuweze kuchangia. Vinginevyo kuna thread nyingi zinazoongelea masuala mbalimbali ya uongozi wa Kikwete.
 
Mwanaharakati,
Kwani wewe mwenyewe unaonaje? Mimi naona mabadiliko yapo tatizo ni mabadiliko hasi na siyo chanya, sijui nimejibu swali lako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom