Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Naona hamna thread ya Tekelinalokujia, au labda niko chakari bin bwii hata silioni.
Nina swali. Kuna tatizo gani celtel? Mtu akinitumia messeji kutoka bongo, hiyo meseji inajituma si chini ya mara 10. Rekodi leo imefika 32...... Gadaaamn. Sort it out.
Kuna mwingine nje ya TZ ana matatatizo haya? Sijaona makampuni mengine yana matatizo, lakini hawa Celtel wanaondoa utamu wa meseji zangu ebooo!! Gongo bin komoni ikinipanda mi nitawapandia juu ya milingoti yao niinyofoe ohooooo...inaboa sasa. gadaaaaaamn.