Nani ana design pesa za Tanzania?

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Nyoka nyuma ya TSh 500 anamaana gani?
[media]http://bp3.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R3ZC82PgKiI/AAAAAAAALKk/DUTRJY3vtQk/s1600-h/may12.jpg[/media]
 
Nyoka ni baadhi ya tourist attraction ukija bongo kwani mkuu hufahamu kwamba tunao nyoka wengi sana? Mwanza kwa mfano wanajulikana kwa kucheza na nyoka. (Joke)

Nafikiri BOT ndio wanafanya mambo ya design, How? sifahamu.
 
Nyoka nyuma ya TSh 500 anamaana gani?
[media]http://bp3.blogger.com/_HO8ijU76ZcQ/R3ZC82PgKiI/AAAAAAAALKk/DUTRJY3vtQk/s1600-h/may12.jpg[/media]

Nyoka ni alama ya tiba duniani kote; hata WHO wanaitumia, angalia hii hapa.

WHO.jpg
 
Sasa Nyoka na tiba kuna uhusiano gani? Naomba kuuliza...
Mtoa mada kalamikia wanaodesign pesa za Tanzania kwa kutumia picha ya Nyoka; nikajibu Nyoka ni alama ya tiba DUNIANI kote- Sijui uhusiano kati ya nyoka na tiba. Ukitaka historia kamilia ya matumizi ya Nyoka kama alama ya tiba utaipata kwenye paper niliyoambatanisha hapa chini. Baadhi ya alama nyinginezo zitumikazo katika medicine ni kama ifuatavyo:

Rod_of_asclepius.jpg

db_starlife181.gif

snake-wine-glass.gif

istockphoto_2564442_caduceus_medical_symbol_chrome.jpg
 

Attachments

  • Snake in Medicine.pdf
    634.6 KB · Views: 218
Alama ya nyoka kwenye Tiba, asili yake ni ndani ya Biblia.

Musa alimtengeneza nyoka wa shaba akamwinua juu ya mti ili kila aumwae na nyoka wenye sumu apate kupona kwa kumtazama yule nyoka wa shaba pale mtini.
 
Back
Top Bottom