Nakandamiza Kibara
Senior Member
- Jul 17, 2007
- 143
- 10
Wakati Serikali inapiga kelele juu ya haki za watanzania wote bila kujali elimu zamu wala kimo,utajiri na rangi leo hii Waziri kama wewe unadiriki kuwatumikisha wasiachana kwa kitanzania kama watumwa hata kama kwao wana shida zilizo wafanya waishie kuomba kazi kwako .
Kwa yeyote mwenye ukaribu na Batilda naomba akamuulize haya maswali ili atuletee majibu hapa .
1.Mtumishi wake wa siku za karibuni aliyempata kupitia kwa rafiki zake wa Mbezi anaitwa Judith ni mtu wa Malawi aliingia Nchini kinyemela na data tunazo lakini sasa ni mtumishi wa ndani wa mheshimiwa huyu . Je Bi Salha kama unavyo jiita ama unavyo penda uitwe umemuombea kibali cha kazi Uhamiaji ?
a) Umempa mkataba wa kueleweka ?
b)Uhuru wake wa kuabudu siku ya Jumapili umempa?
c) Masaa ya kazi ni kama yako ama yeye ni hadi utakapo lala ndipo naye awe wa mwisho kulala na wa kuanza kuamka ?
2.Bi Salha imekuwaje wasichana wote wa kazi na vijana wote waliopitia kwako wanasema huambiliki na huna utu na mwisho unawaondosha bila ya malipo yao halali ?
Unaongea nini Bungeni nawe unatenda nini nyumbani tena bila ya huruma na kujitambua kwamba una wajibu wa kusimimia haki na ukumbuke kwamba mtoto wa mwanamke mwenzio pia ni mwanao kama huyu mwanao wa miaka karibia 3 uliye naye ?
Je unaweza kusema hapa juu ya haki za watumishi hawa ambao kwa mateso na manyanyaso yakiwemo ya kuwazuia ku practice imani yao kisa wewe ulibadili dini kuwa Muislam basi unatamka wazi wazi kwamba Wakristo si watu na walio watu wa dini hiyo kwako they should stop practising it wakiwa watumishi wako ?
Hebu tueleze ya wachache ya hawa ulivyo wanyanyasa na kuwalipa kiasu cha shiling 100,000 tena siku unapo wafukuza ama wanapo amua kuondoka siku ya mwisho maana huwalipi miashahara yao bali una limbikiza na mwisho unawazika?
Kuna huyu Tabu alitoka Morogoro kakimbia majuzi na malipo yamekuwa ya maajabu.
Jesca kaondoka majuzi kwa kero ya kumzuia kwenda Kanisani na hata kutaja Yesu akiwa katika eneo lako. Umemnyanyasa hadi kutishia kumpeleka polisi ?
Kuna Jamila,Esther Mlokole ambaye amepambana na kuwa mtiifu kwako lakini kashindwa kwa manyanyaso ?
Sasa kuna huyu Judith ambaye ameapa kwamba hata kwenda kanisani na sasa tunangoja kuona utafanya nini . Lakini kwa nini wewe ndugu waziri nawe uingie katika mkumbo wa kunyanyasa watumishi wako wa ndani na hata vijana wote wanakimbia ?Naomba unieleze juu ya Kibali cha Judith .Nauliza hivi nikiwa na data kibao ambazo nangoja ujibu hoja ama watu wako wakujibie nizimwage ili watanzania wakujue kwamba ni mtu mwenye chuki na hata wafanya kazi wenzio kiasi kwamba unaogopa hata kula chakula ofisini unaogopa kupewa sumu ukidai kwamba wanakuchukia . Jiulize kwa nini wanakuchukia kabla huja anza kuwa mtu wa vituko.