Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

http://www.youtube.com/watch?v=jqFW124WYGc
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu hicho kivuko beam zake na hydraulic naweza kusema ni mbovu. Nasema hivyo kwani karibu mwaka sasa kivuko hicho milango yake haiwezi kufunga au kufunguka vizuri,hili linapelekea maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta apartments 2 za kupangisha kuanzia mid December 2009 mpaka mid January 2010. Apartments hizo ziwe karibu na maeneo ya mjini, ziwe na fence na sehemu ya kutosha ya ku park magari. Huduma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Just wanted to say happy 09 09 09 day hope all will be well.Have a blessed day.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee. Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya. Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke CCM na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika redio za kimataifa zinazopendwa nchini ni Idhaa ya Kiswahili ya BBC LOndon. Kwa kweli tangu aondoke Tido Mhando kama Mkuu wa Idhaa hiyo, viwango vyao vimeporomoka sana na ingawa husikiliza...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
MUUGUZI wa Kituo cha Afya cha Buguruni wilayani Ilala, Dar es Salaam amefariki katika ajali ya moto iliyotokea nyumbani kwake ambayo hata hivyo, imesababisha mfarakano baina ya familia yake na ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilikuwa naangalia kipindi cha BBA number nne kinacho rushwa na Dstv,nakamuona huko ndani ya jumba la hilo BBA kijana wetu Kanumba, lakini cha kushangaza nikwamba kanumba alikuwa na wasiwasi hata...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Reuters – Former journalist Lubna Hussein poses for a photograph at the cafe where she was arrested in Khartoum, …...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Hii si kawaida, karibia siku 8 zimepita huyu mkuu hajatia mguu hapa ukumbini! Stats zinaonyesha post yake ya mwisho ilikuwa tarehe 24 August. Members wengine wakikosekana barazani lazima...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Takriban miaka saba iliyopita hapa nchini kulizinduliwa mradi mkubwa wa kuchukua sehemu ya bahari ya Hindi na kuigeuza kuwa nchi kavu kuanzia eneo la daraja la Selander hadi Ocean Road, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Monday, September 07, 2009 2:01 AM Mwanaume mmoja wa nchini Chile amejinyonga live kwenye internet baada ya uhusiano wake na mpenzi wake kuvunjika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIJANA Seifu Nassoro [24] mkazi wa Mikocheni amefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kutishia kuua kwa njia ya ujumbe wa barua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Samuel Msuya na Lilian Lucas Morogoro JESHI la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Samir Lotto kwa tuhuma za kumshambulia na kumpora vifaa vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza ...hivi VICOBA ni SKUVI imefufuka??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msimamo wenu kwa wale mnaofahamu juu ya huyu mama "Ester Abraham-Hicks", Hivi anaamini katika MUNGU wetu MUUMBA wa vyote au mungu yupi? nisaidieni jamani. Unaweza check hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je mwafahamu ukifika maeneo ya loriondo arusha, cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''. Ilibd niulize waungwana walijibu hv nacot...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KAtika redio za kimataifa zinazopendwa nchini ni Idhaa ya Kiswahili ya BBC LOndon. Kwa kweli tangu aondoke tido mhando kama Mkuu wa Idhaa hiyo, viwango vyao vimeporomoka sana na ingawa husikiliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KHARTOUM (Reuters) – A Sudanese woman was found guilty of indecency and fined on Monday for wearing trousers in a case that has attracted worldwide attention, but she will be spared lashes, an...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Masha: wafungwa wasahahu suala la kupelekewa wapenzi waoNa Stella Mwaikusa Waziri wa Mambo ya ndani, Lawrance Masha amesema serikali haifikirii suala la kuwapelekea wenza wao wafungwa magerezani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom