Najua watu walionjeshwa muziki kidogo mapema leo na CD ikatolewa kwa haraka. Hata hivyo kwa wale wapenda miziki ya JF wasikose kesho kwani kuna burudani ambayo inatarajiwa kupakuliwa straight from...
Na Tambwe Hizza
HIVI karibuni, Rais Jakaya Kikwete aliunda kamati maalum ya kushughulikia masuala ya madini, huku akimteua Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) kuwa mmoja wa...
Na Samson Mwigamba
MALALAMIKO ni mengi kutoka pande mbili. Lakini wanaolalamika zaidi ni wale walio mijini. Wanalia na wale walio vijijini.
Msomaji wangu aitwaye Aziza, wa Kitunda Dar es Salaam...
Police in Mwanza Region have launched an investigation against a bishop (name withheld), in connection with the brutal murder of pastor Claude Clevance Ishengoma of Highway Holiness Church at...
...............In the New Year the Home Office will unveil a series of measures designed to try to show it is finally getting serious about immigration. First, every foreign visitor to Britain...
Kuna thread moja hapo awali ambayo iliuliza..." Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?" na kwa mantiki hiyo nikaona kwa nini nisiulize kama...
'Ungepewa Uenyekiti wa...
Mchana wa saa 7 na dakika 14 nilikuwa natoka kitumbini kuvuka kuelekea lumumba kabla sijafika katika geti la mlango wa benki ya wananchi wa Tanzania , nikaona watu wanafukuzana kwa mbale ...
Salaam WanaJambo wenzangu. Habari ya wikendi?? Sasa leo nimepita pale kwenye "www.issamichuzi.blogspot.com" nikakutana na habari hapo chini kuhusu sheria ya ajira ya serikali ya mwaka 2002. Najua...
Nilifanikiwa kupiga picha hii katika sendoff party moja iliyofanyika huko Manchester weekend hii.
Baada ya DJ kuanza kupiga mduara, kina dada waliokua kwenye meza hiyo walikimbilia kwenye dancing...
Every thread on JamboForums.com websites now includes links to a range of social bookmarking / sharing websites.
Social bookmarking links can be found at the top of all thread pages...
Wafanya biashara wawili mkoani Arusha wasaidia shule mbili na hospital jimboni mwa Basili Pesambili Mramba.
Je nini kilichowavutia hadi kwenda Rombo na sio Umasaini? Mt Meru hakuna Vitanda wala...
Posted Date::12/1/2007
Siku ya Ukimwi: Rais Kikwete akiri kupatwa hofu baada ya kupima
* Asema hata Waziri wa Afya alikuwa na wasiwasi
* Aonya wanaoambukiza ukimwi kwa makusudi
* Mwakyusa...
Waungwana,
Mwanakijiji alianzisha discussion kuhusiana na uwezekano wa wamiliki wa Kiwira Coal Mining, Mkapa na Yona, kunyang'anywa KCM kwa vile wameipata katika mazingira ya kutatanisha. Hiyo...
Africans should be left alone. The fact that they and other primitive peoples have evolved strategies to survive into the twenty-first century means those strategies work. When white men first...
Kwa ambao mko majuu, naamini angalau mara moja ushawahi kuona jinsi watu weusi tunavyokuwa wakali wazungu wakituita 'nigger'. Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo tunaweza kukubali matumizi ya neno...
Inasemekana Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam Mh Jumaaa Amepasuliwa Na Jiwe Kichwani Baada Ya Kuingilia Ugomvi Kati Ya Mgambo Wa Manispaa Na Wamachinga
Kasheshe Hiyo Ilianza Pale Askari Hao...
Kama kuna kitu ambacho serikali imeshindwa ni hili suala la kuharibu bidhaa au bunduki zinazokusanywa,mpaka sasa sijauona utajiri wa Tanzania kufanya hivyo,hizi ni fedha za mlala hoi aliesafiri na...
Alia kwa watoto wake wawili walemavu kukosa masomo
Kaanaeli Kaale
HabariLeo; Thursday,November 29, 2007 @00:07
Mwanahawa Juma (katikati) akiwa na watoto wake Asia na Ahmed.
INGAWA...
UDSM don becomes a joint recipient of Nobel Peace Prize
2007-12-01 08:43:14
By Hellen Nachilongo (guardian)
The University of Dar es Salaam has announced that one of its dons, Prof Pius...
Nimekaa hapa na kuanza kujumlisha. I mean, nimeanza kufanya hesabu za kujumlisha na zikanishinda. Nilikuwa najaribu kujumlisha vitu vifuatavyo:
a. Ni ziara ngapi za nje ambazo Rais Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.