Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Taarifa toka TFDA ni kuwa dawa aina ya Metakelfin inayotumiwa na wengi kwa ajili ya matibabu ya Malaria isitumike kuanzia sasa mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Hii ni baada ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Crachwise naomba unitumie contact info zako maana ili tuwasiliane. Nimekutumia PM lakini naona hujaisoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Mfuko huu wa Utamaduni kama kweli unawafikia walengwa wa sekta ya Utamaduni. Wale wanaoujua naomba wanimegee ni kwa kiasi gani unatufaa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndege ya Precisionair iliyokuwa inaruka kutoka Kilimanjaro kuelekea Dar es salaam saa moja na nusu asubuhi leo, imelazimika kurudi KIA baada ya kuruka dakika 10, kwasababu za kiufundi ambapo...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwa wale wanaotaka kufuatilia tafadhali fuata link hii: Ministry of Education and Vocational Training:::::
0 Reactions
14 Replies
14K Views
  • Closed
Wapi naweza kupata software zifutazo: -adobe premiare pro - " after effects - " indesign " photoshop
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wizara ya Nishati na Madini pamoja na TANESCO wameshindwa kuzuia mgao wa umeme kama Rais alivyoahidi kuwa mgao wa umeme utakuwa historia. Ni hivi karibuni tu imetolewa tishio la mgao wa umeme...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kazi ya uopoaji maiti 30 mgodini bado imekwama Imeandikwa na David Azaria, Geita; Tarehe: 30th March 2009 @ 20:22 HabariLeo Kazi ya uopoaji miili zaidi ya 30 ya watu waliofukiwa ndani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Veteran journalist Bisanga is no more DAILY NEWS Reporter, 30th March 2009 @ 11:48 A Former Chief-Sub-Editor with the Tanzania Standard (Newspapers) Limited, publishers of the 'Daily...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar police nab 125 suspects DAILY NEWS Reporter, 30th March 2009 @ 11:25 Police in Dar es Salaam have arrested 251 suspects and collected over 350m/- in fines from vehicles seized for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumapili, 29 Machi 2009, Saa Mbili na Robo Asubuhi. TBC wametoa taarifa hii fupi kimaandishi kwenye luninga: Treni ya abiria imegongana na treni ya mizigo katika eneo la Msagali na Gulwe wilaya...
0 Reactions
38 Replies
16K Views
Mimi ni mwanakijiji,ingawa pia ni mfanyakazi wa serikali.Vijiji vingi vina kasoro nyingi za wazi za kiungozi,kwa kweli there is much to be desired.Kuna uonevu wa wazi wa wananchi.Siku moja katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Man tries to ‘auction’ unfaithful wife Updated 8 hr(s) ago By James Kuria There was shock and consternation on Tuesday evening last week when a man put up his unfaithful wife for sale at...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je hii ajali ya treni iliyotokea Dodoma ni uzembe au tuiite nini? Station master hakuwa na mawasiliano na waendesha trani au ni hujuma tu. Ninawapo pole wale wote waliopatwa na msiba. Mungu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwenu Ndugu wanajamii, Kabla ya yote naomba kuelezea historia yangu kwa kifupi. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, ni muenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro natokea kijiji cha Machame Nkuu. Kwenye...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa Dar es Salaam, wameeleza kukerwa na uongozi wa Kampuni ya Huduma za Maji Safi na Maji Taka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASCO) kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Now we need ID cards for a trip to the Isle of Wight By Jason Lewis Last updated at 3:14 AM on 29th March 2009 Passengers on ferries to the Isle of Wight and Scottish islands such as Mull and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Social Security Regulatory Authority takes off July JIANG ALIPO, 26th March 2009 @ 10:00 A body that will have to supervise and regulate all the activities of social security funds in the...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunapokuwa Makazini hususani zile kazi za kutumia mashine kama vile za kusaga, kukamua au zenye kuhusiana na mizunguko... hatuna budi kufuata taatibu za kiusalama ili tufanye kazi kwa ufanisi na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hope picha zinajieleza!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom