Ma dk waanza kazi kwa mbwembwe muhimbili;watu wawapa tano!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
419492_190159311085898_100002754923674_240490_167775652_n.jpg
 
hahahahahaha kwa hali hii bora mgomo uendelee...

Tunawashukuru wameanza, lakini ni Wauaji!!!! Ndugu zetu wamekufa kwa kukataa kuwatibu eti wanataka nyongeza ya posho, mishahara. All in all, tunawashukuru sana kurudi kazini kuwatibu wapendwa wetu walionusurika.
 
Wauaji ni Serikali ya Ccm!!
 
Wauaji ni Serikali ya Ccm!!

Usilipe uuaji kwa uuaji!!!!! CCM kweli wameua, nyie mliokula kiapo msiue tena wapendwa. Msikatae kuwatibu wagonjwa wetu wapendwa wakafa. Hi hilo tu wapendwa, tunawapenda sana na kazi yenu ni nzuri, iliyotukuka, kuhifadhi maisha ya mwanadamu
 
We Pdidy nimecheka mpaka watu wanashangaa nina nini..mweeh! bora kufa maumivu ya jino kuliko kung'olewa hivyo.
 
Tunawashukuru wameanza, lakini ni Wauaji!!!! Ndugu zetu wamekufa kwa kukataa kuwatibu eti wanataka nyongeza ya posho, mishahara. All in all, tunawashukuru sana kurudi kazini kuwatibu wapendwa wetu walionusurika.

Wauaji ni Serikali ya Ccm!!
 
Usilipe uuaji kwa uuaji!!!!! CCM kweli wameua, nyie mliokula kiapo msiue tena wapendwa. Msikatae kuwatibu wagonjwa wetu wapendwa wakafa. Hi hilo tu wapendwa, tunawapenda sana na kazi yenu ni nzuri, iliyotukuka, kuhifadhi maisha ya mwanadamu

tatizo serikali yako sio sikivu, inakiburi, mambo ya kusema wasiotaka kurudi kazini kazi hawana ndio ilichochea mgomo hasa, tatizo linamalizwa kwenye meza ya maelewano, ubabe nowdays hausaidii, sasa waziri wako baada ya kutoa ile kauli kuna kipi alicho fanikiwa kama sio kuchochea mauaji ya ndugu zetu tu...
 
Tunawashukuru wameanza, lakini ni Wauaji!!!! Ndugu zetu wamekufa kwa kukataa kuwatibu eti wanataka nyongeza ya posho, mishahara. All in all, tunawashukuru sana kurudi kazini kuwatibu wapendwa wetu walionusurika.

mkuu nasikia mkuu wa nchi alikuwa natambika so lazima roho za watu ziende ndio maana mkumsikia wakati wa kelele mpaka siku zao zilivyoisha na mahitaji yao kutimia habari zaidi utazipata baadae ila nchi hii imejaa matambiko machafu
 
Back
Top Bottom