Siku nikichukua madaraka....

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
Naweka bayana kuwa kama ingetokea nakamata madaraka ya kuongoza nchi ya Tanzania,
ama kwa hakika jukumu la kwanza lingekuwa ni kufuta Makanisa haya yanayonyonya
watanzania walalahoi kwa kutumia matatizo yao, huku wakijidai wana upako!
namaanisha haya makanisa ambayo hayawezi kutetea haki za wanyonge huku yaki
hegemea Serekali sikivu yenye Masikio Mabovu ya CCM!
ningeanza na hili linalopatikana Ubungo Kibangu! huyu askofu angeburuzwa mtaani
akiwa amevaa suti yake, kwa kitendo cha kubeza juhudi za madaktari waliokuwa wakitetea
uboreshwaji wa mazingira ya kitabibu ili kila mtanzania apate tiba angalau safi!

Hongereni Madaktari kwa KUMPINDA PINDA! wafanyakazi wengine mko wapi tulianzishe,
kwani tukithubutu tunaweza!
 
viache vikue vyote wakati wa mavuno Bwana atatuma wavunaji wakusanye ngano ghalani bali makapi yote atayatupa motoni
 
Naweka bayana kuwa kama ingetokea nakamata madaraka ya kuongoza nchi ya Tanzania,
ama kwa hakika jukumu la kwanza lingekuwa ni kufuta Makanisa haya yanayonyonya
watanzania walalahoi kwa kutumia matatizo yao, huku wakijidai wana upako!
namaanisha haya makanisa ambayo hayawezi kutetea haki za wanyonge huku yaki
hegemea Serekali sikivu yenye Masikio Mabovu ya CCM!
ningeanza na hili linalopatikana Ubungo Kibangu! huyu askofu angeburuzwa mtaani
akiwa amevaa suti yake, kwa kitendo cha kubeza juhudi za madaktari waliokuwa wakitetea
uboreshwaji wa mazingira ya kitabibu ili kila mtanzania apate tiba angalau safi!

Hongereni Madaktari kwa KUMPINDA PINDA! wafanyakazi wengine mko wapi tulianzishe,
kwani tukithubutu tunaweza!

Utakuwa wa ajabu kama ukichukua madaraka ya kuwa presida wa nchi hii ukiwana na kipaumbele kimoja tuuu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom