dalili za CHADEMA kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar zaanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dalili za CHADEMA kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar zaanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Feb 13, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema mkaze buti mwaka 2015 kuiiondosha CUF zanzibar kura mlizopata UZINI ni dalili tosha kuwa nyie mtakuwa chama kikuu cha upinzani zenj na mgombea wenu wa urais awe HAMAD RASHID CUF kwishney!!
   
 2. D

  Dislike Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ila yale matokeo yanaonesha wazi kuwa lile jimbo lina masikini wengi na wajinga wengi.
   
 3. N

  Ndole JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eeeehhh unasema kwamba watu wale wana...............
   
 4. U

  Userne JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahahahaaaa!
  mtaji wa chama changu, cha magam!
   
Loading...