Jk alishindwa na hosea, je atamweza dk mponda?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Tangu rais kikwete aingie madarakani viongozi mbalimbali serikalini wamekumbwa na tuhuma mbalimbali hadi kufikia wananchi kutaka viongozi hao wafukuzwe madarakani na rais, lakini hakuna linalofanyika! Tunakumbuka ishu za kina edward hosea, mwanyika, ji mpondana wengineo ambao walikumbwa na kashfa lakini rais akashindwa kuwaondoa madarakani. Je ataweza kumuondoa madarakani waziri wake wa sasa mwenye tuhuma dk hadji mponda? Wakati uko nyuma alishindwa kuwaondoa watendaji wengine wabovu. Yetu macho.
 
Tangu rais kikwete aingie madarakani viongozi kadhaa serikalini wamekumbwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimefikia hadi wananchi kutaka viongozi hao waondolewe madarakani na rais, lakini hawakuondolewa madarakani, tunakumbuka maswala ya kina edward hossea, johnson mwanyika, na wengineo walioshakumbwa na tuhuma mbalimbali. Hivi sasa waziri wake dk hadji mponda ana tuhuma, je rais kikwete ataweza kumuondoa madarakani dk mponda? Tusubiri tuone.
 
Hata wabunge walinywea kwa Hosea. Jamaa ni noma anawatisha viongozi wa taasisi zote za umma hata vigogo wa ikulu hawafurukuti kwa huyu mbabe.
 
Back
Top Bottom