Kuonesha au kumuweka picha!.

Kuonesha au kumuweka picha!.

PSYCHOLOGY

Senior Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
177
Reaction score
14
Habar wana JF!
Hivi nmakosa kama rafiki yangu hamjui Mh Lissu ..kisha nikamtumia picha yake?

- Mbona wikipedia hakuna picha ya rais wa pili wa Zanzibar?

Je kama mie ninayo naweza kuwatumia?

Au ni jinai kuiweka sehemu yeyote...hasa kumuonesha rafiki au jamii ...ni kwa nia nzuri tu...ili wamfahamu.

Nawakilsha kwenu!.
 
Duh!
Mada nyingine bwana
Hazina mbele wala nyuma, mtoa mada una uhusiano na Whitney Houston?
Acha hizo!
 
Back
Top Bottom