Osama kukataza wanae ugaidi ni unafiki, mtego au woga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Osama kukataza wanae ugaidi ni unafiki, mtego au woga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Feb 13, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Habari kuwa kiongozi wa zamani wa al-Qaeda Osama bin Laden alihusia wanae na wajukuu kuachana na ugaidi zimekuwa hit kwenye mitandao. Je ni kweli alifanya hivyo? Je aliacha mtego ili waruhusiwe kirahisi kuishi kwenye nchi za magharibi baadaye wazibadilishie kibao au ni unafiki wa kawaida wa kusema na kufanya tofauti? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wajinga ndo waliawao
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  He was honest to himself and to his kids..
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  unafikiri alikua hajui outcome ya ugaidi?
  au watoto wa wenzie wakijitoa mhanga, unadhani alitaka wanae wajitoe muhanga?
   
 5. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ugaidi si lele mama
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Alisema hivyo kwa kuwa alikuwa hataki wanae waandamwe. Tumeona ghadafi wanae walivyoteswa, watu hawajali kama watoto ni waovu au sio waovu, wanahukumu mpaka watoto. Naona alisema ili kuuzuga ulimwengu na kuwafanya watu wakubali kuwa yeye tu ndio mhalifu na sio familia yake. Pia tukumbuke kuwa ugaidi ulitokana na mikataba kati ya marekani na kikundi cha osama. So, walikuwa na deal na osama, na sio familia yake.
   
 7. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hakuna mwanadamu anayependa kizazi chake kiangamie (kifutike juu ya uso wa nchi) Osama alijua ugaidi nini kwani ukiutafuta ugaidi haupo ktk dini ila ktk uasi.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hoja yako si sahihi kwa bb mwanasha maana mpaka sasa wanae ni watawala. Wanae sasa humarisha TRA wasamehe kodi kwa makampuni ambayo wan-interest nayo, huamrisha vyombo vinavyosimamia chaguzi mbalimbali viwapitishe wapendwa wao na visiwapitishe wasiokuwa kambi yao. Sasa siku mabaya yakimkuta(God forbid) kizazi chake chote kitangamia.
   
Loading...