Soko la dhahabu na rupia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la dhahabu na rupia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwaito, Feb 13, 2012.

 1. K

  Kwaito Senior Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie eti mtu akiwa na dhahabu yake na madini mengine kama rupia na rubi anaweza kupata wapi soko kwa dar es salaam na bei ikoje
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mtafute Marijani (a.k.a papaa msofe) na ndugu yake Muzamil, hata ukiwa na tani 100 ya madini wananunua kwa bei nzuri.
   
 3. K

  Kwaito Senior Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matapeli stak nataka watu genuine
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Hao wote choo cha kike,nenda wizarani au ingia online utafute soko ndio inalipa wasiliana na wazungu wanatoa mpunga mzuri,ushawahi shika usd 2mils?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui kama kuna madini yanaitwa Rupia.
   
 6. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Huu utapeli wa "KiSUKUMA" umeshafika na hapa JF??
   
Loading...