Morogoro hizi channel zimekwenda wapi?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Hapa Moro siijui ni kwangu tu ITV,Channel Ten, EAST Africa TV , Star TV zimepotea hapa nimebaki na TBC ambayo hakika Taarifa zake hunikera sana kwani huwa ni zile wanazotaka wao......hata Channel yetu ya Abbod nayo ndio hivyo ....Je mnaojua zimeenda wapi au zitarudi tena maana imekuwa kero sasa.
 
Mkuu hata huku Dodoma, mpwapwa na Kondoa. Hazpatikani. 2naangalia KBC na K24
 
Hapa Moro siijui ni kwangu tu ITV,Channel Ten, EAST Africa TV , Star TV zimepotea hapa nimebaki na TBC ambayo hakika Taarifa zake hunikera sana kwani huwa ni zile wanazotaka wao......hata Channel yetu ya Abbod nayo ndio hivyo ....Je mnaojua zimeenda wapi au zitarudi tena maana imekuwa kero sasa.

pole sana mkuu mbona zote zinapatikana??
Ila sema wamehama satelite.
Hebu nenda cheki kwenye jukwaa la teknolojia kuna wadau walikuwa na shida kama yako.

Itabidi ufanye setting upya
 
Kama dish lako ni la nchi 8 badilisha upate la nchi 12 utaendelea kupata channel zote hizo
 
Duuuh! Hili dish la nchi nane sijawahii ona, ni kweli umemaanisha nchi 8 au fut 8? hesabu kazi kweli kweli!
 
pole sana mkuu mbona zote zinapatikana??
Ila sema wamehama satelite.
Hebu nenda cheki kwenye jukwaa la teknolojia kuna wadau walikuwa na shida kama yako.

Itabidi ufanye setting upya

Acha uongo kuwadanganya wenzako hakuna chaneli iliyohama satelite zote bado ziko kwenye satelite ya INTELSAT906 DEGREE 64 EAST ni star tv tu ndio waliobadilisha symborate yao toka 3271 ya zamani na sasa ni 4900 bado wakiwa kwenye satelite hiyohiyo.
 
Duuuh! Hili dish la nchi nane sijawahii ona, ni kweli umemaanisha nchi 8 au fut 8? hesabu kazi kweli kweli!

Usilaumu sana hizi imperial units tabu, wengi tumezoea SI units with exception ya mafundi na some old school Engineers (inches,feet,dynes,ibs,psi,calories)
 
Back
Top Bottom