Uchumi wa nchi umeanguka, na hali itakuwa mbaya zaidi before dec

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Umasikini wa wananchi umeongezeka sana.

uwezo wa wananchi kununua umepungua

Biashara haziendi sawa, wafanyabiashara hawapati faida.

wafanyakazi wanapunguzwa

Biashara zinafungwa

serikali haipati kodi ya kutosha

udhaifu wa serikali kukusanya kodi
 
yaah ni kweli lazima tukubali kuwa kunatatizo, hapa hata hawa wa upande wa pili CCM lazima wakubali kuwa chama chao kimeshindwa kutatua matatizo ya watanzania kama walivyo tegemea

tatizo kubwa ni nini basi??..UBINAFSI!!

Nadhani hilo ndilo chanzo cha kila kitu hapa lazimal tukubali, sio viongozi wetu, wala sio sisi wenyewe tumejaa ubinafsi kiasikwamba hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

watawala wetu wako kwa maslai binafsi na maslay ya chama zaidi, leo wanajilimbizia mali hawataki kufanya mambo kwa manufaa ya uma. leo wabunge wetu wanalilia posho bungeni bila kujali hali za wananchi walizoziacha huko nyuma.

pia tunashuhudia migomo watu wanagoma kwa masirahi binafsi bila kujali wanaoumia, nafikiri tukiweka hali ya upendo na mshikamano mambo yatakuwa poa

hili linawezekana sana tena sana. ni mikakati mizito na kuamini kuwa tunaweza
 
Umasikini wa wananchi umeongezeka sana.

uwezo wa wananchi kununua umepungua

Biashara haziendi sawa, wafanyabiashara hawapati faida.

wafanyakazi wanapunguzwa

Biashara zinafungwa

serikali haipati kodi ya kutosha

udhaifu wa serikali kukusanya kodi

mbona sioni data yoyote wala reference?
 
Tafadhali thibitisaha thread yako, kwa kuifafanusha ili watu tuichambue kwa kina.
 
Back
Top Bottom