tumekwama na sumry ya bukoba toka saa 9.

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wakuu tupo safari ya dar-bukoba, toka saa 9 gari limeharibika hapa Bai, hapa hamna hata dalili ya kuondoka..wanazidi kutupa moyo tu.
 
Poleni sana; mbaya kukata tamaa. Mwenyezi Mungu atasaidia mtafika salama. Don't despair mkulu!
 
Kaka pole mi leo nimeteseka na green star mpaka sina hamu nilikua naenda mwanza ikabidi waturudishe ubungo ndipo tukarudishiwa nauli nikapanda mohamed tras mpaka dom nimelala mpaka kesho niondoke tena. Nimeshapata hasara yakulala gest
 
pole mkuu, mi ndiyo safar yangu ya kwanza ukanda huu
 
Kitu kingine kilichonikera kuhusu trafec sisi tunapinga simu makao makuu tena tunaongea na mpinga yeye trafc anakuja kukagua gari anatuambia bado kidogo muondoke kumbe kashikishwa buku ten kuna abiria kamuona ingekua mimi ningempiga picha ningeiweka hapa mushuhudie.
 
poleni sana,usilalame sana ,bahati ni hapo,je lingeharibikia mapori ya ushirombo si ingekoma na kukoma?
 
Back
Top Bottom