Radi Iliua Timu nzima ya Mpira wa Miguu nchini Kongo!!! Oct, 1998 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radi Iliua Timu nzima ya Mpira wa Miguu nchini Kongo!!! Oct, 1998

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Osaka, Feb 14, 2012.

 1. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wasalaam wana JF!
  Bara la Africa linasifika kwa matumizi ya nguvu za giza katika michezo mbalimbali hasa hasa ktk mashindano ya mpira wa miguu ( soccer).
  Timu nyingi za Africa ya Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikitumia uchawi (fetishism) ktk kabumbu, uchawi huo unajulikana kama kama: juju au muti . Huku kwetu tunaita ndumba au omuti.

  Katika moja ya matukio ya kushangaza ikiaminiwa kuwa kuna mkono wa mtu (the black magic) ktk mchezo wa soccer, ni pale timu moja ya mpira wa miguu ikiwa na wachezaji wote 11 walipokung’utwa na radi wakati timu pinzani ikibaki salama bila ya mchezaji hata mmoja kudhurika! Tukio hili lilitokea nchini Kongo miaka ya nyuma kidogo (28 Oct, 1998).
  Source: http://www.independent.co.uk/news/lightning-kills-an-entire-football-team-1181336.html


  Hata kwetu hapa bongo tumeshuhudia baadhi ya timu zetu za soccer , wachezaji wake wakiruka ukuta bila kutumia milango maalumu ya viwanja vya mpira katika hisia kuwa timu pinzani itakuwa imefanya ‘vitu’ vyake mapema ktk milango hiyo.
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaleta zilipendwa!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mi nilifikia mpya
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mi ndio naisikia. Nimeigoogle nimeikuta ni kweli...Aisee, sisi waafrica ni noumer!
  Nadhani hata wazungu waliachwa midomo wazi na tukio hilo la kipekee!!
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ya kale hayanuki mkuu!
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii ndio sanaa ya watu wa Afrika.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hii sanaa si ije hapa kwetu ichakaze baraza zima la mawaziri ili tuanze upya?
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Hii heading ipo presently while ur story ya longtime aloo edit bas jamani!
   
Loading...