Tuna ma Dr JF sasa tuwe na Rais

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Wandugu wapendwa kwanini Jf tusimteue Rais wetu?
Tuwe na wabunge wetu ambao tunawachagua wenyewe.
Mawaziri wetu ambao tunawachagua kufuatana na upeo wao.
Ma Polisi wetu ambao watawakamata wote wanaokiuka sheria za JF.
Mahakimu amboa watatoa hukumu ya mtu kuwa ban kwa muda gani.
Madokta tunao lakini tunataka madokta wa ugonjwa wa akili.

Na la muhimu tutachagua chama teule cha Jf kutuwakilisha bungeni.

Happy valentine alllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
 
Ndivyo walivyo katika kufanya maamuzi,sio kama anaidhaililisha.Huoni maamuzi yanayofanywa na hao na nchi inakoelekea,mkuu.
Bendera imepigwa ngwala na signature inajieleza.
 
Back
Top Bottom