Things are upside down! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Things are upside down!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Feb 14, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Imethibitika nchini kenya wanaume wengi wanapigwa na wake zao ndani ya familia. Kati ya waliohojiwa ni 30 percent tu wamepigwa kwa kutotimiza majukumu ya kifamilia na ulevi wa kupindukia. Asilimia 70 wanapigwa kutokana na wanawake kutaka kuwa kichwa cha familia. Utafiti huu umefanywa na mtandao wa kutetea haki za wanaume kenya na imeripotiwa bbc. Nini uzoefu wako kwenye hili suala? Kama wewe ndo muhusika,unalichukulije?
   
Loading...