Umasikini Unatuuwa Mheshimiwa

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
[h=3]MWADUI YAHAMIA IRINGA[/h]


http://www.mjengwablog.com/
Mkazi huyo wa eneo la M.R Hotel Miyomboni katika Manispaa ya Iringa ameibuka kuwa mkali wa wiki hii katika safu ya mtandao huu baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya chumba chake zioezi lililoanza zaidi ya wiki tatu sasa bila ya kukutana na madini hayo
Polisi wakiingia kutazama machimbo hayo ndani ya nyumba ambako limechimwa shimo lenye andaki kubwa zaidi ya futi 60 sasa Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Grevas Ndaki kushoto akiwahoji wachimbaji wa madini hao ambao wamekuwa wakichimba madini hayo bila kibali cha manispaa japo yapo maneno kuwa si madini ya kawaida
Chanzo:Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
mi kwakweli huyo mtoto uliyemuweka kwenye avatar yako, i cant close my eyes, badala ya kuangalia umaskini macho yote kwenye avatar
 
Back
Top Bottom