Diwani wa chadema mbaroni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa chadema mbaroni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by siemens c25, Feb 13, 2012.

 1. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  diwani wa kata ya kijitonyama bwana juma uloleulole[chadema] jana alikamatwa na polisi kwa kosa la kujaribu kubaka mpaka muda huu bado yuko lockup ya kituo cha polisi kijitonyama mabatini:eyebrows:
   
 2. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Si diwani bali M/kiti wa kitongoji. Ni kwa makusudi umefanya hivi au ni kupitiwa? Si vema kupotosha watu kwani diwani ni nafasi ya juu zaidi ya mtajwa
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  kama ufafanuzi huu ni sahihi. Bravo
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  dar hakuna kubakwa maana wanawake wengi ni chips tuu!sema wameamua kumkomoa
   
 5. Blandes

  Blandes JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lete habar kamil,ili tufahamu
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  huyu ndo yule aliye wekewa pingamizi na ccm eti majina yake yanatofautiana?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  ccm mna hila nyie!!:A S embarassed:
  Yaani Mwenyekiti wa Mtaa unamwita DIWANI!....
  This is UZUZU JAZZ BAND!
   
 8. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Acha kupotosha umma we,****!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  aisee.... tusimplaumu sana, shule za kata hizo, hajui tofauti ya diwani, mwenyekiti wala mtendaji
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  But what is the big deal here!!
  Kuwa wa CDM au CCM kuna uhusiano gani na tabia asilia ya mtu?
  Mtoa mada unataka kujenga hoja gani hapa? come out please
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Graduate wa shule za kata huyu hana tofauti na IDIOT.Nyambaafff
   
 12. K

  KAMBAJECK Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msiwe majuha, mh. Ulole Ulole ni M/kiti wa s/mtaa wa ALLY MAUA na Diwani wa kata ya Kijitonyama kama hampo informed
   
 13. M

  Makupa JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ina maana hana mke ama girlfriend
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Ni kwamba nahisi huyu mrusha thread amepigiwa simu tu.
  Sasa kwa ile haraka haraka ya bila hata kutaka kujua nini afanye akaamua kudanganya jamii hivi hivi na labda akifikiri vichwa vya watu wote ni sawa na yake kilaza huyu!

  Jinga kweli!
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Diwani mteule wa kata ya Kijitonyama kwa Ali Maua, Mhe. Juma Athumani Ulole Ulole anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutaka kumbaka binti mmoja kwa ahadi ya kumtafutia kazi huko Mashariki ya Kati.
  Ulole Ulole ni diwani mteule wa kata hiyo kwa tiketi ya CHADEMA ingawa matokeo ya uchaguzi huo yalibatilishwa na mahakama hivyo kubatilisha ushindi wake.
  Kwa mujibu wa binti aliyedaiwa kutaka kubakwa, diwani huyo alimuita katika guest house moja na kufanya jaribio la kufanya nae mapenzi ambapo binti huyo aligoma na baadae kwenda kutoa taaarifa kituo sha polisi.
  Chanzo: ITV
  Kwa mtazamo wangu, kuna jambo linataka kutendeka hapa, maelezo ya polisi yanadai kuwa, diwani ali-attempt kumuingilia binti kwa nguvu, wakati ibinti mwenyewe anadai kuwa diwani aliomba penzi, na si kulazimisha kama taarifa ya polisi inavyodai. Na kama ni kweli aliyoyasema binti kwenye chombo cha habari, kwanini kesi ya msingi isiwe ni ya kuomba rushwa ya ngono badala ya jaribio la kubaka?
  Kuna kila dalili ya huyu binti kutumiwa na watu fulani, hasa aliyekuwa mgombea udiwani wa kata hiyo kwa tiketi ya CCM, Ndugu Said Bulembo aliyeshindwa katika uchaguzi huo licha ya kutumia fedha kuhonga wapiga kura pamoja na chakula. Wasiwasi unakuwa mwingi kutokana na mazingira husika, kuna jaribio la kubaka linalofanyika gesti wajameni?
   
 16. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  CCM wanajua kusema ya wenzao na kuyafanya kuwa makubwa. CCM watuambie yule kiongozi wao mkubwa aliyemchukua mke wa mtu kule Igunga wakati wa kampeni ya ubunge mwaka jana mbona hawakumsema?
   
Loading...