Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kinywaji gani ni asili ya kwenu? Kwetu kuna komoni na kimpumu. Kwenu je?
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Wana Jamii na watanzania kwa ujumla nimesikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa wizara ya elimu waliopewa dhamana. Hotuba walizotoa kimsingi sioni kama zina tija kwa twigs letu juu ya udhibiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nasoma post mbalimbali kuhusu wizi wa hawa jamaa wa Vituo vya mafuta vya OILCOM, nikapuuza leo yamenikuta. Nimetoka na gari yangu mpaka Oilcom pale tiptop manzese, nikajaza mafuta ya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
watanzania kadhaa leo wakiwemo wanawake na akina mama wamepigwa , kudhalilishwa , kuibiwa pesa na kutishiwa kuuwawa na wamiliki wa yard ya kampuni ya Mwamkinga Auction Mart,Yard hiyo ipo nyuma ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
WAKATI mjadala wa nyongeza ya posho za wabunge ukiwa umepamba moto nchini, kwa wananchi na makundi mbalimbali wakipinga hatua hiyo, wabunge wengi wa nchini Uganda wanaambulia patupu mwisho wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
barabara kuu itokayo babati kwenda galapo mkandarasi kaajiri raiya wanasambaza moramu kwa jembe la mkono picha ntaweka baadae my take: kagawa pesa na wakurugenzi walio toa tenda pesa ya greder...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Dk ulimboka na nicholaus mgaya ni watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kutetea haki za wafanyakazi. Napenda kujua yupi ni jembe kweli kweli kati ya hawa wawili?
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Tangu asubuhi ya saa mbili oo nusu nipo ndani ya benki ya NBC na hapa Meru Branch Arusha na nikaenda mpk pale Uhuru na hakuna Network na hbr waliopokea ni kwmb karibu benki zote hapa Nchini hakuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kama mtu unaye fikiri kwa ufasaha, uchaguzi ujao ni vigezo vipi utavyotumia kumpa mtu kura yako na kukuongoza 1. Je ni kwa sababu waliopo unahisi wameshindwa? 2. Je ni kwa sababu unataka kujaribu...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Kwa nini radio za Bongo hupenda kutupigia nyimbo za kipuuzi redioni wakati tuna muziki wetu wa asili? Muziki wa fleva uwe unapigwa asili mia kumi tu kwani hauna maadili yeyote yale katika jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pamoja na kuwapo kwa ugumu wa maisha na kuwa kama tuliochanganyikiwa lakini sijafikia kiwango cha kusahau kukutumia salama zangu za wapendanao (au za wapendao?) leo hii, bila kusubiri "mwaisha...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
DR. Augostino Lyatonga Mrema na Edward Ngoyai Lowasa, ni miongoni mwa viongozi ambao, wamefanya mambo makubwa yanayo waletea watanzania manufaa mpaka sasa. 1. DR. (PHD) Mrema ndie alieneza...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Najuiliza hawa wabunge wanaopoteza muda wao bungeni kuipinga JF wanaogopa nini? Tumchukulie huyu mchungaji Rwakatare, nani asiyejua yeye ni mwizi? Anatumia tu uchungaji kujificha. Je, kumuanika...
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Nasema hivi kwa sababu wenzetu Zambia wamefanikiwa kuwa na demokrasia ya kweli na matunda yao yanonekana kuanzia kwenye soka na mengi mazuri yaja.Sisi ziro hata kitu kimoja hatuwezi labda ufisadi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imagine the posiibility of stress-free Ceremonies; it begines with you. Serikali ilitumia Tshs 64 Bil kwa ajili ya sherehe za mika 50 ya uhuru; sherehe hizi walengwa walikuwa ni watanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikitika kusema kwamba Rais wangu wa Tanzania amenitusi.Hii imetokea siku ya Ijumaa alipokuwa akihutubia Wazee wa Dar es Salaam.Alinitusi kwa kuniambia uongo huku akiwa anaujua ukweli.Aliniona...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
kwa yeyote anayejua sifa za kupata uwakala wa vodashop na superdealer yaani watu wanaouza mpesa wawe wananunua balance kwako kwa jumla hili waende kuuza kwa wateja wa rejareja
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu emu nisaidieni hili,ni miaka mingi sana nimesikia kuna uhakiki wa mali za viongozi nchini ila sijawahi sikia hatua zimechukuliwa dhidi kiongozi ya kiongozi.Najua hili zoezi linatucost...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Diwani mteule wa kata ya Kijitonyama kwa Ali Maua, Mhe. Juma Athumani Ulole Ulole anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutaka kumbaka binti mmoja kwa ahadi ya kumtafutia kazi huko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom