Haya!haya,hayaw hayaw! Sasa yamekua...

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Ile cku ya mapenz ya kinafk imewadia na kila mnafk amrudie m2 aliyewah kumtesa,na co milele ila kwa leo 2.

Mtazamo.
 
Hii ni sikukuu ya kinafki, umalaya, uzinzi, ushoga na uzandiki MAPENZI Hayana siku na siku ya wanawake kufanya dhulma kwa wanaume

Kwl,lakn alieianzsha hakuwa na malengo km wa2 tunavyoienz,yy aliichagua kua n cku ya kuonesha upendo kwa jamii na ndio maana ina jna lke na cvngnevyo,hii n swa na mandeladay.Lakn ss ilvyo n utata 2,hsa tz,czan km kw wenze2 wanaienz km 2navyoienz huku kwe2.
 
Hizi ndio sikukuu za uongo, watu wanajitungia mbinu za biashara, huku tunaingia kichwa kichwa!
 
Kwl,lakn alieianzsha hakuwa na malengo km wa2 tunavyoienz,yy aliichagua kua n cku ya kuonesha upendo kwa jamii na ndio maana ina jna lke na cvngnevyo,hii n swa na mandeladay.Lakn ss ilvyo n utata 2,hsa tz,czan km kw wenze2 wanaienz km 2navyoienz huku kwe2.

Hebu edit ili usomeke vizuri.
 
Kwl,lakn alieianzsha hakuwa na malengo km wa2 tunavyoienz,yy aliichagua kua n cku ya kuonesha upendo kwa jamii na ndio maana ina jna lke na cvngnevyo,hii n swa na mandeladay.Lakn ss ilvyo n utata 2,hsa tz,czan km kw wenze2 wanaienz km 2navyoienz huku kwe2.

andika ueleweke
 
Hii ni sikukuu ya kinafki, umalaya, uzinzi, ushoga na uzandiki MAPENZI Hayana siku na siku ya wanawake kufanya dhulma kwa wanaume

.
Maasi ya siku hii hayakaribii hata robo ya yanayofanyika siku ya X-mass na Ramadan. Mimi kwangu kila siku ni sikuu hivyo inanisaidia kutolundika mambo yasubirie siku fulani kuyafanya. Kama ni ibaada kwa Muumba ni kila siku, upendo kwa wengine ni maisha ya kila siku nk. Huwez kuachai kula kwa mwezi mzima ili chakula kiwe kingi mwisho wa mwezi utakapokila kwa mkupuo. Utakufa!!
.
 
Back
Top Bottom