The Back Story Of Bush's
Visit To Tanzania
2-17-8
The following is from a resident of Tanzania...
They have 600 people - yup 600!!! - people in his (Bush's) group...
My Tanzania inaniuma sana Mimi Kama mzawa kuona nchi yangu inazidi kudidimia, kila kitu kinachukuliwa na wajanjawajanja wakati c tukibaki down, take a look even Burundi fedha Yao ipo juu,, I made...
Keneth Goliama
MVUTANO kuhusu suala la ardhi umeibuka jana katika mkutano wa wataalamu wa kamati za Serikali Kanda ya Afrika Mashariki uliojadili madini, baadhi ya nchi zimepinga kuingiza ardhi...
Pichani Makamu wa Rais akiwa na Askofu wa Jimbo Kaoliki la Mbinga - Ruvuma
Mikoa ya Kusini Nyadnda za juu Kiongozi wa serikali ukiwa mbali na viongozi wa dini imekula kwako. Hawa viongozi wa dini...
Yale maghorofa ya masaki yaliyo jirani na Lowasa yalioamriwa kuvunjwa na awamu ya nne, chini ya Waziri Mkuu mwenye uthubutu, yako hatua za mwisho za ukarabati. Wenye kupenda kupanga maeneo hayo...
Watanzania, tuna blog nyingi na zinazidi kuchupuka, lakini ni chache zenye kujenga taswira ya kujali zaidi maisha ya wananchi wa Tanzania na kutoa elimu bila woga wala upendeleo. Hii ni sifa...
Hivi inakuwaje Wahindi wanakaa nyumba za NHC kariakoo na Posta.....Juu wanaishi chini wana biashara......haiwacost hata mafuta kwenda kazini kama watanzania wengi.....ndo maana wikiendi unawaona...
Mwanasheria mzima tena wa kampuni yenye jina unakuwa na tabia za kishenzi hasa ukilewa. Unatukana na kuzusha ugomvi kila uendapo. Matukio haya ya ovyo ovyo hayaendani na maadili ya wanasheria na...
Vijana wauza vitu bei chee baada ya kukosa nauli ili warudi kwao baada ya kumaliza mitihani yao.wengine toka jana na wengine leo ndo wamemaliza.nafuu kwa watunza fedha.
Wakazi wa eneo la Katoro Geita hatuna amani kabisa baada ya tukio la jana saa 3 asbuhi tuliposhuhudia mwili wa binadamu mwanaume ukiwa umechunwa ngozi na kutelekezwa katka uwanja mmoja ambao...
Great thinkers, ninashangazwa na hili shirika la umeme, wanakata umeme hovyohovyo, bei ya umeme wamepandisha ili huduma ziboreshwe, kila kitu kimepanda bei sababu ya TANESCO.
Sasa wamekata umeme...
Habari wana JF wenzamgu, mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nipo chuo kikuu nataka nianzishe social community kwa ajiri ya vijana wenzangu na hata hapo mbeleni iweze kua NGO pls mwenye maoni yoyote
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya...
Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.