Msaada: Pls mwenye maoni na hili anaweza changia

Piazza jr

Member
Oct 30, 2011
70
3
Habari wana JF wenzamgu, mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nipo chuo kikuu nataka nianzishe social community kwa ajiri ya vijana wenzangu na hata hapo mbeleni iweze kua NGO pls mwenye maoni yoyote
 
Back
Top Bottom