Airtel wezi - Internet bei ghali sana

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,021
527
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
 
Si kweli kaka Airtel ndio wananafuu ,kwisha kwa kifurushi kunatokana na matumizi yako,au kama programme zina ji update ,nimetumia Voda,Zantel,Tigo kati ya wote airtel ndio wako poa kwa bei ya bundle zao,kwa speed ukiwa city centre zantel ni bora zaidi ya wote
 
Acha kuwasema vibaya airtel, wana kifurushi chao cha bei nafuu sana 400MB kwa shilingi 2500/= tu ambacho kimetusaidia sana watu wengi na speed ni nzuri. Labda kama unachuki zako binafsi tu.
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
Sio kweli mkuu Airtel wako vizuri saana hasa kwenye internet, sasatel ndio kimeo hakuna mfano
 
sema unafanya proma ya sasatel.

Airtel are the best, miaka yote natumia hiyo wala haina gharama za ajabu kama unavyotaka tuamini.
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
Sasatel hao ndo wangese kabisa wala usiwape promo. Wiki juzi tu nimetupa kamodem kao mshenzi, unalipia bundle halafu mtandao hamna, si usiku si mchana mpaka bundle ina-expire.
 
Sio kweli, airtel wako poa sana ukilinganisha na mitandao mingine, mie kila mwezi naweka 2500/= sijawahi kuzimaliza! Wewe unatumiaje? Hawaibi hata kidogo!
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?

Airtel sio ghali, ila siku hizi wamekuwa slow hadi nimeamua kubadilisha lain natumia voda kwani spidi yao imezidi airtel. Voda ndo wezi wakubwa kwani wanauza bundle ya mb50 kwa 2000, na huisha haraka hata usipodownload kitu.
 
Ningeshangaa kama ungeisifia airtel wakati unafanya kazi tigo kwenye kibanda
 
Mjomba nahisi unachuki binafsi na airtel bana wanajitahidi kulinganisha na haya makampuni mengine 2500 kwa 400mb hakunaga
 
du ndugu kagua computer yako labda kuna program zina auto update lakini airtell wapo fair kishenzi
 
Airtel wapo fair sana mie nanunua MB 400 kwa sh.2500 na zinanitoa mwezi mzima
 
yote ulio ambiwa ndio sahihi...check pc yako kwenye firewall na program nyingine.KARIBU TENA AIRTEL MKOBOZI WA WANYONGE!
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
Unajisikiaje baada ya kuongea uwongo na kila mtu anakupinga? Msikilize Rose Mhando, JIPANGE SAWASAWA. Kama ni lazima uanzishe thread basi iwe ya kweli na si kufuka moshi kama wa kuni mbichi.
 
Wito kwa Airtel, Voda, Sasatel, Tigo na Zantel washushe gharama za internet ili wadau waweze kuzitumia zaidi kuwasiliana.
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
kuwa muangalifu na unachokiangalia kwenye internet kama unanunua data bundle...epuka sana kuangalia sites zenye mapicha mengi ya size kubwa, acha ku download online video clips etc maana kwa jinsi mimi ninavyoona ni kwamba kila kilobyte/megabyte unayo download inaondoa kilobyte/megabyte kwenye data bundle uliyonunua...mfano mimi natumia modem ya vodacom na huwa mara nyingi nanunua data bundle ya 20mb na kuitumia masaa mengi tu kama nikiangalia jamii forums kwa sababu mambo mengi hapa jf ni text tu lakini 20mb hiyo hiyo nikiitumia kuangalia blog ya michuzi haifiki dakika mbili inakuwa imekwisha kwa sababu ya hayo mapicha na mambo mengine walioleza wadau...!
 
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.

Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.

TCRA mnaregulate nini?
Tafuta uongo mwingine hapa sikubaliani na wewe hata unipige kitanzi!!
 
Back
Top Bottom